Kumwombea mtu si lazima muitane kukutana hall au chini ya mti

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
""""nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""

serikali inapokataza mikusanyiko isiyo halali inajaribu kuepusha mabaya ambayo yangejitokeza kwa sababu :

1.hapo mnapotaka kukusanyikia ni salama kweli?
2.je idadi ya watu watakaokuja hapo kwenye maombi inajulikana na kundi hilo litakuwa na usalama kwa kigeographia?maana yanaweza kutokea maafa makubwa kutokana na kutokupata hewa ya kutosha

3.watu watakuwa na emotions nyingi,wanaweza kudondoka chini na kufa kabisa
4.hao wabaya wa lissu hawajatiwa nguvuni,hivi wakiwavamia mkiwa kwenye kusanyiko lenu na kuanza kuwaua mtasema serikali haijatulinda?

nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""
 
Kama unavyojifungiaga na mumeo chumbani afu unamuombea akumwagie upako vizuri
 
Kw
""""nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""

serikali inapokataza mikusanyiko isiyo halali inajaribu kuepusha mabaya ambayo yangejitokeza kwa sababu :

1.hapo mnapotaka kukusanyikia ni salama kweli?
2.je idadi ya watu watakaokuja hapo kwenye maombi inajulikana na kundi hilo litakuwa na usalama kwa kigeographia?maana yanaweza kutokea maafa makubwa kutokana na kutokupata hewa ya kutosha

3.watu watakuwa na emotions nyingi,wanaweza kudondoka chini na kufa kabisa
4.hao wabaya wa lissu hawajatiwa nguvuni,hivi wakiwavamia mkiwa kwenye kusanyiko lenu na kuanza kuwaua mtasema serikali haijatulinda?

nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""

Kwa hiyo na fiesta watu wakae ndani na kucheza mziki, wakati mwingine sio tu mtu anahoji utimamu wa fikra zenu tu bali hata uwezo wa kuenenda.
 
Umenena vema mkuu.Kwa wakati huu si Mzuri sana kuanzisha movement zozote zinazomhusu Tundu Lissu vyombo vya Dola havitawaacha.
 
Lengo halikuwa kumuomba Mungu bali lengo lilikuwa ni ijulikane kuwa wanamuomba Mungu.

Kuna tofauti kubwa hapo.
 
Kw

Kwa hiyo na fiesta watu wakae ndani na kucheza mziki, wakati mwingine sio tu mtu anahoji utimamu wa fikra zenu tu bali hata uwezo wa kuenenda.

pale fiesta hakuna emotions wewe!!ni full burudani ndo maana hakunaga sheria!!1tofautisha mambo!!kwani kanisani na misikitini nako mmezuiwa kumwombea LISSU??MBONA KWETU TUNAMWOMBEA RAIS WETU KWA RAHA ZETU NA MUNGU ANATUJIBU ???
 
Sioni kama kuna shida yoyote hapo,nafikiri wanaohusika na wanaokataza kufanyika kwa hayo maombi wanahusika na kilichomtokea mhanga,kwa nini wewe utangaze uombewe wakati huo hutaki wengine waombewe,kwa hesabu za logic,kuna kitu hapo
 
Kuzuia watu kukusanyika kwa ajili ya maombi au dua huko ni kuingilia uhuru wa kuabudu. Huwezi na hupaswi kuwalazimisha watu namna ya kufanya ibada zao.
Imani ni jambo linalobeba hisia za watu, kuingilia uhuru wao ni kutafuta visa na kulaaniwa.

Hatukuanza leo kukusanyika na kuombeana kila tunapopatwa na jambo zito, hata wakati huu, mara kadhaa Magufuli amekuwa akiomba watu wamuombee, na mikusanyiko ya namna hiyo imekuwa ikifanyika bila ya tatizo hilo.

Kwanini tuzuie kwa Lissu?
Wivu wa nini tena?
Tunaogopa nini?
 
Utasabisha nipgwe ban bure.

Fiesta sio mkusanyiko?

Na t_shirt za pray for Lissu nazo zna tatzo gan?
 
""""nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""

serikali inapokataza mikusanyiko isiyo halali inajaribu kuepusha mabaya ambayo yangejitokeza kwa sababu :

1.hapo mnapotaka kukusanyikia ni salama kweli?
2.je idadi ya watu watakaokuja hapo kwenye maombi inajulikana na kundi hilo litakuwa na usalama kwa kigeographia?maana yanaweza kutokea maafa makubwa kutokana na kutokupata hewa ya kutosha

3.watu watakuwa na emotions nyingi,wanaweza kudondoka chini na kufa kabisa
4.hao wabaya wa lissu hawajatiwa nguvuni,hivi wakiwavamia mkiwa kwenye kusanyiko lenu na kuanza kuwaua mtasema serikali haijatulinda?

nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""
Kwa usalama wa Nchi na wananchi n bora pia wamezuia kwa kwel
 
Ila pakitokea Mkusanyiko wa maombi kwa ajili ya show za pasaka na kuomba aman ktk Taifa Polisi hujilidhisha ni shwal........... Polisi Tz ni Usanii mtupuuuuuuuuu
 
""""nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""

serikali inapokataza mikusanyiko isiyo halali inajaribu kuepusha mabaya ambayo yangejitokeza kwa sababu :

1.hapo mnapotaka kukusanyikia ni salama kweli?
2.je idadi ya watu watakaokuja hapo kwenye maombi inajulikana na kundi hilo litakuwa na usalama kwa kigeographia?maana yanaweza kutokea maafa makubwa kutokana na kutokupata hewa ya kutosha

3.watu watakuwa na emotions nyingi,wanaweza kudondoka chini na kufa kabisa
4.hao wabaya wa lissu hawajatiwa nguvuni,hivi wakiwavamia mkiwa kwenye kusanyiko lenu na kuanza kuwaua mtasema serikali haijatulinda?

nenda chumbani ,funga mlango ,mwombe baba wa mbingu aliye sirini naye atakusikia"""
Muache unafiki katika mambo ya mungu jamani,kama kumuombea MTU aihitaji mkusanyiko kwa nini tuna kwenda makanisani na misikitini ili tufanye ibada pamoja,angalieni usiwe mna support upuuzi sababu ya kumfurahisha mfalme kumbukeni dunia hii tunapita jamani.
 
Mtoa post mbona umeandka matakataka? Biblia takatif inasema hivi "Wakusanykapo watu wawili au zaid kwa jina langu nimi nitakuwa katikati yao"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom