Kumtega mpenzi wangu

Kilahunja

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
1,502
341
Niaje wadau, mapenz yako tofaut, vionjo vikiwa tofaut kila siku unakuwa mpya kwa mpenz wako, sio mbaya nisaidien yafuatayo, KAMA WEWE NI:
A)MWANAUME..vitu gan au mambo yap unapenda mpenzio akufanyie au hata ukimuona tu anakupa hamasa au hisia za kimahaba.

B)MWANAMKE, mitego ipi ukimfanyia mpenzio una mbamba, sio lazima kitandan/chumban hata katika mazingira ya kawaida, jamaa anajisikia shauku?
NB: NI KATIKA KUONGEZEANA MAUJANJA.
 
Mapenzi hayanaga formula sijui ukakuleti no ukionana na Aisha tofauti utakapo onana na Wema
 
shida siku hizi watu wanajisajili mahali pengi ( kuwa na mademu au wanaume wengi) so inawezekana ukapewa maujanja hapa lakini yasitosheleze maana mwenzio akienda huku anakutana na haya kule anakutana na yale so inawezekana ukajituma na mwenzio akakuona bado mpogolo tu.....
 
MAPENZI NI KWELI HAYANA FOMULA: KILA MMOJA ANA MAMBO ANAYOPENDELEA. KUAZIA
  1. SURA
  2. MAVAZI
  3. UMBO
  4. USAFI WAKO HASA KITANDANI (kuna wasichana wengine kero mdomo na mdomoni; hata hiyo mara moja unakuwa umemstahi ila baada ya hiyo unatamani utapike (ANANUKA CHOO KINA NAFUU) Kwa hiyo kwa kweli kina dada usafi ni swala muhimu na la lazima katika mapenzi VINGINEVYO utaachwa solemba.
  5. MWENENDO NA TABIA
  6. ONGEA YAKO
  7. IMANI YAKO
  8. UKARIBU NA UKARIMU WAKO KWA WAGENI
  9. KWA KWELI NI MENGI SANA A-Z ILA YOTE KATIKA YOTE HUWA WATU HUTIZAMA KWA MACHO TOFAUTI; i.e mimi napenda hivi na mwingine anapenda vile. SO STUDY YOUR LOVER TO KNOW HIS/HER PREFERENCES.
 
Kuna mchangiaji Goldsilver ameanza kuitaja sura! SURA ndiyo Mainswitch ya mambo yote! Kuna watu mfano akiwa anaogelea iwe baharini, pool , ziwani akijitumbukiza majini akabakiza kichwa nje ya maji ukitokea ghafla unawezashtuka na kutoka mbio ukidhani umemuona KIBOKO !
 
Hahahaha..unapga yowe heeelp ther is a crocodile in a swimin costume..lol
 
Kuna mchangiaji Goldsilver ameanza kuitaja sura! SURA ndiyo Mainswitch ya mambo yote! Kuna watu mfano akiwa anaogelea iwe baharini, pool , ziwani akijitumbukiza majini akabakiza kichwa nje ya maji ukitokea ghafla unawezashtuka na kutoka mbio ukidhani umemuona KIBOKO !
Ha ha ha!
 
mimi napenda ambaye tunaelewana na wala hanibishii kitu chochote kile
 
he yaani anacho sema balozi hakipingwi, not fear!!! , he wallah ,,, ok wataalamu mpeni darsa mwana anataka ajue zaid but mm nahis hakuna formular n kumsoma unae mpenda tu , vip ambavyo anahitaji zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom