Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Kuna habari zinaenezwa katika mitandao na magroup ya WhatsApp, kwamba kumnyonya mwanamke au mke wako Mara kwa Mara kutamsaidia kutopata ugonjwa wa saratani ya matiti.
Nikiwa kama Mtumishi wa Mungu ningependa kusema kuwa "Huo ni uzushi na ni mpango wa kuzimu katika kuongeza wimbi la ukahaba".
Kwasababu kama kunyonya wapo waume waaliozoea kuwanyonya wake zao kama sehemu ya mapenzi, lakini pia wazee wa zamani walikuwa hawawanyonyi wake zao na wala hakukuwa na huo ugonjwa.
Naweza kusema kama ulikuwa umezoea kumnyonya mke wako kama sehemu ya mapenzi unaweza kuendelea, isipokuwa ni makosa kumnyonya mkeo kwa imani iyo kwamba unamsaidia asipate ugonjwa wa saratani.
Nawatakia ndoa na familia njema katika Jina la Yesu Kristo.