Kumekucha Madawa ya Kulevya: Kina 'Masogange' wawataja waliowatuma!

Mbona mambo yako wazi kabisa??
Mwenye Mzigo ni Kinje Ngombale Mwiru. Huyu anajulikana na narudia kusema tena ndiye aliyetumika kumuharibu mtoto wa Sitta ALIYEMZAA kwa mkewe mkubwa aitwaye Valeria(rip).

Huyu tena anashirikiana na Shomar Kimbau sijui kwanini watu wanawaonea aibu hawa watu.

ni shomari kimbau au omari kimbau?wanaotaka ubunge wa mafia kwa hali na mali!wanaishi majirani ni kingunge ngombale mwiru pale viktoria makumbusho!wamewaharibu vijana wote mwananyamala
 
Mkuu Zogwale una maana huyo jamaa hapo katikati?

Jibu unalo tayari, na hapo si unaona na mabaunsa wanaojifanya ni wa mujini!!! Huyu ---- anatesa sana jamii hakika. Shule yenyewe halikusoama na fujo mitaa yote mijini Enzi za ujane wake akitesa na machangu wa grade ya juu na watoto wa watu kuchezea!! Si unakumbuka jinsi habari zake za kutishia watu na bastola zilivyokuwa ninaenea mjini? Wakati ule vyombo ya habari si vilikuwa vichache? Na vya serikali havithubutu kung'ata mtoto wa kigogo? Akimtaka demu wako unalo!! Shenzi sana hili.
 
Pumbav zao ikiwezekana wanyongwe kabisa mbwa hao, na serikali yetu nayo ishirikiane na Afrika Kusini ktk kuhakikisha kwamba hao wanaotajwa nao wanafikishwa kunakohusika. Tumechoka kuona watu wajingawajinga dizain yao malaya wanaichafua nchi yetu.

umechukua maneno mdomoni kwangu
 
Hivi kuna ushahidi kwamba Kinje anajihusisha na hiyo biashara au ni maneno tu ya watu yasiyo na ukweli wowote?
Siku ndugu yako atakuwa mhanga wa madawa, wa either punda au mtumiaji basi utafanya kila juhudi kupata mchawi!!!! Mkuu Nyani Ngabu, lisemalo lipo na kama halipo laja? Mbona hawajakutaja wewe kuwa ni mshirika wa madawa? Haya mambo yako mitaani na usalama unafahamu!!!! Kama haufahamu basi ni budi wafunge ofisi tuanze recruitment upya!!! Udhaifu na ulegelege kila kona.
 
Mambo ya lisemwalo sijui lipo au kama halipo laja hayahusiki hapa.

Leteni ushahidi ulio zaidi na maneno yenu tu.
 
Kinje nomaaa ndio maana mara vogue mara porsche kumbe ngada mie nlijua ubungo taminale.
 
Habari za ndani zilidai kuwa baada ya kupitia mateso hayo, mabinti hao waliwataja watu wawili waliowatuma kusafirisha mzigo huo, mmoja akiwa ni mtoto wa kigogo ambaye ni mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania (jina lipo).

huu ndioufala nisioupenda "JINA LIPO""JINA LIMEHIFADHIWA""KAMA LIPO MBONA WENGINE USISEME YAANI WATANZANIA TUNABAKI KUWA WAJINGA NA MANENO YA KIJINGA KILA SIKU
 
Mambo ya lisemwalo sijui lipo au kama halipo laja hayahusiki hapa.

Leteni ushahidi ulio zaidi na maneno yenu tu.
Mkuu ushahidi anao Rais wako na nina hakika jina la Kinje halitakosa!!! Nzowa naye anaju drugs lords wote!!! Ha ha ha!!! Kwa kifupi, the syndicate, well known!!!! Sasa unataka tuweke ushahidi wa risiti kwani ni bidhaa halali au kuwa amekamatwa? Lord kumkamata ni ngumu, sana sana atakamatwa punda na yule jirani yake punda tu!!!!
 
Kinje nomaaa ndio maana mara vogue mara porsche kumbe ngada mie nlijua ubungo taminale.

Teminale tenda si ilishaingia mchanga!!!? sasa yuko na manispaa ya temeke na biashara nyingine cover tu ya biashara yake kubwa ya kuteketeza jamii yetu.
 
Mkuu ushahidi anao Rais wako na nina hakika jina la Kinje halitakosa!!!

Huo uhakika wewe unautoa wapi?

Nzowa naye anaju drugs lords wote!!! Ha ha ha!!! Kwa kifupi, the syndicate, well known!!!! Sasa unataka tuweke ushahidi wa risiti kwani ni bidhaa halali au kuwa amekamatwa?

Maneno matupu siyo ushahidi ndugu.

Lord kumkamata ni ngumu, sana sana atakamatwa punda na yule jirani yake punda tu!!!!

Ngumu kivipi? Hakuna wiretapping technology bongo? Hakuna undercover agents wa ku-bust hizo drug rings?
 
Ngumu kivipi? Hakuna wiretapping technology bongo? Hakuna undercover agents wa ku-bust hizo drug rings?

Ahhh wapi? Bongo hata uweke nini, njaa zifanya hongo mbele. Kwani siku ile hawa mabinti wanapita mbwa si walichelewa? Baadhi ya camera zilikuwa off!!!! Na kwa nini walete technology ya kuwakamata wakati watendaji wameshatiwa mkononi hawafurukuti? unasemea Bongo tunayoifahamu au mpya? Wale wanaoishi ughaibuni nafikiri Bongo hamjajua ilivyoharibika!!!!! Ombeni duo citizenship angalao muwe mnakuja mhashuhudia kuliko kuambiwa. Vijana wetu kuanzia shule za primary hasa za bweni ni victims!!!
 
acha hatua watakazochukuiliwa ziwe hvyo bana sheria ifuate mkondo wake wanavyotuharibia watoto wetu mtaani na kutudhalilisha mbele za wake zetu na kuonekana kuwa sie sio watafutaji.sasa hayo ndio negativu ifekiti ya wanayoyafanya.acha waadhibiwe tu.huyu akikukuta unavuka bara bara hakuhurumii na hawa ndio ukipita mbele a nyumba yake anakukamatisha nambwa wake acha wafungwe maisha.na huyo masogange acha afungwe maisha kabisa.huko hawangalii kuwa anamasogange makubwa wala nini,nikufungwa kwenda mbele.
 
ni shomari kimbau au omari kimbau?wanaotaka ubunge wa mafia kwa hali na mali!wanaishi majirani ni kingunge ngombale mwiru pale viktoria makumbusho!wamewaharibu vijana wote mwananyamala

ndiye huyo huyo tulizoea kumwita Shomari ila anajiita Omari
 
Back
Top Bottom