Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 1,206
- 3,882
watu dizaini yetu lazima tuwepo kama ndimu kwenye kachumbari ili inogeNimefananisha na kule umemjibu Leejay....nikajisemea🙌🏿
watu dizaini yetu lazima tuwepo kama ndimu kwenye kachumbari ili inogeNimefananisha na kule umemjibu Leejay....nikajisemea🙌🏿
🤣🤣sana yaan kipenzwatu dizaini yetu lazima tuwepo kama ndimu kwenye kachumbari ili inoge
Kwa hali yoyote ile, wewe ni flat tummy 😁🤣🤣🤣umeona eee 🤒
🤣🤣🤣kipo cha kuzugia aiseeKwa hali yoyote ile, wewe ni flat tummy 😁
Mimi sio mnene wala mwembamna, kwanza sijawah fika hata 75kgs toka nizaliwe mpka sasahivi mnajua mwili
presentable kwa kitanda inaongeza msisimko? unaweza kua na guu la punda lakini mwili hauna ushirikiano at least usiwe mnene au na kitambi pumzi za kutosha
Naaminije to yeye 🤗🤣🤣🤣kipo cha kuzugia aisee
Sioni tatizo kwa mwanaume, kwa kuwa kimvutiacho mwanamke dhidi ya mwanaume ni pesa ama dudu. Siku zote dudu alijawahi kukonda hata kama mwanaune atabaki njiti. Pia dudu huwa haliungui hata kama mwanaume awe amelipukia kwenye sheliunavyomuona wenzio na wengine wanakuona hivohivo ukute na wewe umekondeana kama waya nyani haoni kundule
Tatizo ni kula sana na uroho,Ama kweli, dunia inakwenda kasi sana. Kimvutiacho mwanaume dhidi ya mwanamke ni Nyashi. (Kiuno fulani hivi mbudule cha Nyigo, matikiti kudondokeana yaliyododa na kugawanyika ipasavyo, bila kusahau Nyonga mbinuko, zote mbili)
Miaka ya sasa kumeibuka kaugonjwa ka KE walio wengi kupoteza mvuto wao wa awali. Haka ka utafiti nimekafanya kwa miaka mitatu mfululizo. Yaani mwaka huu 2024 unakutana na mwanamke mwenye umbo lake la kutaraadad kama vile kajiumba mwenyewe, toto totolito kweli, mzigo huoooo mpaka nguo inataka pasuka, yaani ni full ndembe ndembe mwanapacome, kiasi kwamba Nick Minaj akasome. Cha ajabu Jan ya mwaka 2025, unabahatika kuonana na huyo mwanamke akiwa kama moja hata kizugio tu cha kumtofautisha ujinsia hana. Unakuta kabakiza sura tu
Ama, kitumbo mbele mbele kama fisadi, utambi huoooo, halafu cha kusikitisha nyuma kumekuwa pasid, mtindi huooo, yaani kama tisa vile. Shavu sasa kama Mifuko ya Ilala Bonyokwa
Nahisi ni mabadiliko ya tabia nchi sijui Ama njaa imezidi, ama sijui ni maawazo ya vikoba. Mi sielewi kabisa kwa kweli, labda tusaidizane kutambua
Kwa mimi binafsi, kila mwanamke ambaye alinikataa kuwa nami kimahusiano, alipoteza mvuto mwaka mmoja tu tokea kunikatili. Wengi wao hurejea kwangu wakiwa wanatia huruma pasi na kupatiwa rehema ya aina yoyote ile. Kuna Salome (amekuwa gunia), kuna Mary, kuna Eliza na rafikiye Pamela, kuna Nasra, hawa wamekuwa moja, wote wamepoteza mionekano yao ya mwanzo
Kipi kifanyike?
HahahahahaMi binafsi haka kakitambi ni
-vikuku vya kisasa
-uvivu kufanya zoezi nafanya nikijisikia
-uvivu wa kusex...mikunjo husaidia sana kupunguza mwili
Wanakua kama sanamu la micheliniChunguza hili,wanawake wengi baada ya mahusiano kuvunjika wanageukia kulakula hovyo wakiamini inawasaidia kupunguza stress walizonazo,pia wana amini kuvimbiana kutawasaidia waonekane hawana maumivu ya kutendwa,matokeo yake ni kuwa na kitambi na kiuno kupotea hatimaye kubakia na 9 au 1....
Mi binafsi haka kakitambi ni
-vikuku vya kisasa
-uvivu kufanya zoezi nafanya nikijisikia
-uvivu wa kusex...mikunjo husaidia sana kupunguza mwili
🤣🤣🤣wameniokoa aiseeView attachment 2922785
Nmetaka kuzoom profile 👆 nione hata miguu yako inipe tafsiri ya venye ulivyo kiumbo ila ndo hivo tena JF imenifanyia ukatiri...
Ni kweli kabisa mkuu, deal na kula yako tu, mi mwenyewe nimepunguza kg6 baada ya kuacha baadhi ya vyakula.shida ipo kwenye ulaji babu, watoto wakike wanakula hovyo sana sikuhizi we asubuhi tu keshapakia furushi la mikate mchana ubwabwa jioni chips usiku pizza ama ubwabwa au ugali na kazi zao ndo hivyo nyepesi nyepesi hawatoi jasho laini laini sana!, unafikiri hiyo sukari inaenda wapi ndio maana sikuhizi dada zetu wanazaa sana kwa visu,presha na kisukari!.
kuna mmoja nilikutananae nikaangalia namna yake ya kula mh! nilichoka hapo anakitambi mpk anaona aibu!,mi nikamkalisha nikamuambia kwa ulaji huu hautatoboa! ameshaliwa pesa za gym sana tu lkn wapi na bado anaenda gym akifikiri atapunguza tumbo!..😂
upunguze tumbo na ulaji ni uleule uliona wapi, nilimwambia kwa asilimia takribani 70 dili na kula yako hiyo 30 fanya mazoezi naona kakaza shingo na mwili nao umemkazia shingo!.
anataka awe kipotabo atusumbue vijana lkn naona zoezi lishanshinda..
tayari kaanza gym muda tu na hakuna badiliko lolote bado yupo vilevile!..