Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,893
11,290
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection

Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na kukaa nazo hata siku mbili kusubiria nani atampigia mkewe... i tried to ask him kuacha tabia hiyo kwani inamweka mwanamke kwenye hisia za kudhalilishwa na kutoaminiwa na pia mke anaweza sasa akaanza kufanya siyodhani simply because jamaa ndicho alichonacho kichwani!!

Sipendi hii tabia na nina imani wengi hamuipendi

please pals, lets not do this aisee
 
Kumwamini asiyeaminika kutakuja kukuumiza wewe na kumtilia mashaka mwaminifu kutamuumiza yeye.Hivyo watu wajitahidi kutowaumiza wenzao bila sababu ya msingi!
 
Huyo rafiki yako ni mgonjwa na anahitaji maombi ya kufunga,.....kukaa na simu ya mkeo kwa siku mbili maana yake ni kwamba mkewe hana mawasiliano kwa muda wa siku hizo zote,...anyway-the simple solution ni bora amwambie mkewe asiwe na simu ili watumie ya kwake,....uuuuuuuuuuuh!..puuuuuuuuuuuuuuuf
 
Igwe... inasikitisha sana, when you look at the guy, huwezi amini upumbavu anaoufanya
 
Ni ngumu sana kuishi na mtu ambaye ni control freak. Nampa pole sana huyo mke wa jamaa yako.
 
Ni ngumu sana kuishi na mtu ambaye ni control freak. Nampa pole sana huyo mke wa jamaa yako.
to be honest ni kaudhalilishaji fulani kamefikia kumfanya mke kukosa kujiamini hata kwa wanawake wenzake aisee... she has been overly mistreated
 
Simu yangu ni my own property. Na yake ni yake.
Siigusi simu yake, she doesn't touch mine.
Thats our agreement and it works.
We are happy with our contract.
No one will break it. Ever!
swahiba, and that is my spirit...

this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini
 
Duhh Hivi watu kama hawa bado wapo, mi nilidhani walishaisha zamani sana....,

Ila mimi nisiowapenda zaidi ni wale wanaowasema wenzao kwa marafiki na majirani kwamba hawafai..., au kuwafata mbele ya kadamnasi na kuanzisha zogo mbele ya marafiki zao instead ya kuwaita kando na kugombana nao faragha
 
Huyo ana matatizo ya akili,huwezi kumlinda binadamu awaye yeyote kwa kutumia njia za kibabe sana sana ataishia kukudharau.
 
to be honest ni kaudhalilishaji fulani kamefikia kumfanya mke kukosa kujiamini hata kwa wanawake wenzake aisee... she has been overly mistreated
Sio tu udhalilishaji yaani ni ukandamizaji hasa.. I've been there.. Jamani usiombe kupata mtu wa aina hiyo!!!
 
Igwe... inasikitisha sana, when you look at the guy, huwezi amini upumbavu anaoufanya

Lakn ndio anaufanya,.....sababu ni rafiki yako you tell him the truth,...lakn angalia urafiki usije ukafikia ukomo maake anaweza akadhani unaingilia ndoa yake(hapo ni lazima uangalie na uelewa wa rafiki yako)......
 
swahiba, and that is my spirit...

this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini
Hahahaha.... hii njemba inaingia humu? Inauma sana aisee.

Hivi dude? Unaweza kumdhibiti mwanadamu? Kabla ya mobile phones kuingia watu walikuwa hawamegeani? This dude of yours is the CRAPIEST...Tupa kule ....... trash !
 
swahiba, and that is my spirit...

this dude anatudhalilisha and i hope anaingia JF.... ukimuona huwezi amini

Mkuu,..
Kama anaingia humu na akajua umeirusha jioni mtatoana meno.........
 
Mkuu asante kwa hili uliloweka jamvini....

Aisee kuna kitu huwa inanikera sana.....
Pale wanandoa wanapotofautiana hadharani....kwenye mambo ya msingi!
Kuna wengine hufikia hata kutukanana ama kupigana......
 
Duhh Hivi watu kama hawa bado wapo, mi nilidhani walishaisha zamani sana....,

Ila mimi nisiowapenda zaidi ni wale wanaowasema wenzao kwa marafiki na majirani kwamba hawafai..., au kuwafata mbele ya kadamnasi na kuanzisha zogo mbele ya marafiki zao instead ya kuwaita kando na kugombana nao faragha

inauma sana aisee..........
 
Simu yangu ni my own property. Na yake ni yake.
Siigusi simu yake, she doesn't touch mine.
Thats our agreement and it works.
We are happy with our contract.
No one will break it. Ever!
This is how we live hommie!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom