Kumbukumbu ya Nyerere au ya JK?

mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Nafuatilia maadhimisho ya kumbujumbu ya kifo cha mwl nyerere huko butiama bt nimeshangaa kuona mtoto mmoja kati ya wale pale uwanjani kashika picha kuubwa inayomwonyesha jk akitabasamu nikajiuliza ni sahihi picha yake kuonyeshwa pale ili iweje? Au ndo mauzo??
 
Back
Top Bottom