Kumbe wapenzi huwa wanacompare mapenzi

Ndugu yangu Fidel,
USHAINGIA KWENYE duka la perfumes ukaanza kujaribisha kila uionayo?
Mwisho wake unakuwaje?Nadhani unakuwa hujui tena ipi ni nzuri na ipi si mali kitu!Hivyo hivyo na mapenzi..ukizoea kuonjaonja utakuja kujikuta hata huelewi ladha ya penzi la kweli ni ipi.

Ukiskia kengele tulia na wako... acha kupenda mchuzi wa pilipili. kwa mama lishe.....kula nyumbani kwa mkeo.

Pengine hatujawa designed kutulia. Pengine kutulia sio natural. Pengine tunalazimishia tu kuwa na mtu mmoja. Pengine ni ubinafsi wetu tu ndio unatufanya tutake kumilikiana.
 
Dogo Gudboy haya yapo sana mtu akiona mpya miyeyusho anarudi kwa yule yule wa zamani ndo maana iwa nasema mahawala iwa hawaachani kamwe. Yeah iwa tuna compare mapenzi na kila kitu mautundu kunako lazima uangalie je wanazidiana vp na yule Kigoma je huyu wa Lindi ana kosa nini.
kweli mkubwa ndio maana hata kuna duu wangu flan tuliachana sasa hivi ananiganda sana na tena mkanishauri hapa hapa, inja maana amecompare akaona bora kwangu kuliko huko aliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom