Kumbe wadada/wachumba wanapenda malevidevi.

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Nimefurahi sana kujua hili! Nimekuwa nikichumbia sana muda sio mrefu wananitosa, mimi nilikuwa na msomamo wa kipadre, hakuna game kabla ya ndoa! duh wiki mbili wananikimbia nilipochoka kuchumbia, nikaja kupata mwingine, nikaambiwa na rafiki yangu usipompa malevidevi atakuacha! nikajaribu bana yaaaaaaani wanapendaaaaaaaaaaaaaaa, teh teh teh usijidanganye unamchumba eti hutaki malevidevi kwa sababu wewe ni padili hahaaaaa watakuacha mpaka basi!
 
Napenda jinsi mnavyodanganyana
mmmmmhhhhh eti unabadilisha
msimamo wako kwa ajili ya mtu
mwingine.... raha kweli kweli
 
Napenda jinsi mnavyodanganyana
mmmmmhhhhh eti unabadilisha
msimamo wako kwa ajili ya mtu
mwingine.... raha kweli kweli

From the horse's mouth..do i nid to add more!
Revelation 21:8
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili."
 
From the horse's mouth..do i nid to add more!
Revelation 21:8
Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili."

duh hapo sina swali umenikalia kooni baba
 
Napenda jinsi mnavyodanganyana
mmmmmhhhhh eti unabadilisha
msimamo wako kwa ajili ya mtu
mwingine.... raha kweli kweli

si unajua ukweli ulivyo teh teh teh teh teh! wacha bana
 
nimewahi kushuhudia msichana alikataa harusi kisa amewahi kulala na bwana harusi mara nne kabla ya harusi na bwana harusi hakufanya lolote hata alipoambiwa alijibu amechoka, dem akasepa ndio maana wasichana wa sasa wanataka kufanya kabla ya kuona ili kama anaamua kujicommit basi ajicommit sehemu inayo faa.

pia nimewahi kuuhudhuria kikao cha send off Bibi harusi mtarajiwa aliulizwa katika kikao cha send off , Jamaa umemtest yupo poa sio leo tunaodhesha kesho unakimbia kisha jamaa hakufikishi.
walipendeza mkatest kwanza ili tusiaibike na kuingia gharama but wazazi wa binti hawakuwepo
 
Back
Top Bottom