Kumbe wadada/wachumba wanapenda malevidevi.

Ndugu yangu inaonekana umekutana na vimeo tupu....badilisha requirement zako
 
Nimefurahi sana kujua hili! Nimekuwa nikichumbia sana muda sio mrefu wananitosa, mimi nilikuwa na msomamo wa kipadre, hakuna game kabla ya ndoa! duh wiki mbili wananikimbia nilipochoka kuchumbia, nikaja kupata mwingine, nikaambiwa na rafiki yangu usipompa malevidevi atakuacha! nikajaribu bana yaaaaaaani wanapendaaaaaaaaaaaaaaa, teh teh teh usijidanganye unamchumba eti hutaki malevidevi kwa sababu wewe ni padili hahaaaaa watakuacha mpaka basi!
Ki-stori kifupi lakini kina kila dalili ya uongo. Wewe umekuwa unachumbia (which means mara nyingi) lakini umepata conclusion ya wanapenda malevidevi kwa kumjaribu mmoja tu. Kuna ukweli hapo wanajamii?
 
Halafu eti anajifanya anachumbia wiki moja tu na kuacha, huo si uongo tu jamani!!!
 
Back
Top Bottom