Kumbe Serikali Tanzania ina pesa!!!!!!

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Rais J.K ametoa ahadi ya kugharamia ujenzi wa mahakama ya Haki za Biadamu Afrika Mashariki (ACHPR). Rais amesema kuwa Mahakama hii inabidi iwe na hali bora na majengo mazuri kwani itafanya kazi kama zile za ICC.

My Comments:
Kumbe Tanzania tuna uwezo, hivyo wote wanaoibeza nchi yetu kuwa ina hali mbaya kiuchumi ni uzushi tu katika kuiharibia sifa nchi yetu.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom