Kumbe PREZZO mama yake ni MTANZANIA...

Pamoja na kwamba mama yake ni mtanzania,mimi kura yangu ya kubaki bba hapati!yani huyu mjamaa kwenye big brother ni mpika majungu mkubwa,kawapikia majugu wenzake wametolewa,sasa hivi zamu yake anapendekezwa kutolewa ndo anajitangazia mama yake mtanzania ili watanzania tumuonee huruma! Alisahau usemi wa"auae kwa upanga atakufa kwa upanga"
 
Kwa hiyo? whats so special about him kuwa na mama mtanzania??? Post vitu vya maana humu jamvini,kama una undugu naye ni huko huko nje sisi haituhusu.....
 
Kuna picha yake moja ktk Facebook kavaa T shirt yenye picha ya Nyerere (Mapenzi kwa Tz?), huenda ni kweli mama yake ni mbongo
 
Mwanza, Bugarika kweli ni kwa wakurya, yawezekana ikawa kweli
 
Ni kweli alishawahi sema hivyo hata kabla ya kwenda big brother kuwa mama yake ni Mtanzania na anaishi maeneo ya Bugando, Mwanza!
 
Back
Top Bottom