Kumbe nipo Huru?!

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Nipo jela,ghafla Askari Jela anakuja na kunieleza Kadoda11 kuanzia sasa upo Huru.Nashangaa kwa kuwa niliambiwa kifungo changu kitakoma tarehe 20/5/2012...Hata hivyo nimefurahi sana kurejea Uraiani-JF.Naambiwa mabadiriko ni makubwa hivyo itabidi nijipange kwenda nayo sambamba.Wahenga walisema yaliyopita si Ndwele Tugange Yajayo.Nikiwa kama Shabiki Mkubwa wa Mwanamziki Tarrus Riley na Shabiki Mkubwa wa Chelsea Fc nasema "protect the people jah...."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom