Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,872
18,877
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
 
Kwa sababu wote ni watoto wa mjini na Makonda ni mlugaluga
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Mzee na kijana wapi na wapi?
Kwanza Nchimbi alikuw haonekani, wananchi walikuwa wanaitaka sautiya Makonda!
 
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla

Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi chote alipokuwa mwenezi

Nikaambiwa jamaa alimgomea Makonda sababu japo hazijawekwa wazi
Kwanza tuambie ili tujue kama unachoandika kina ukweli. Wakati Makonda akiwa Katibu mwenezi, Nchimbi alikuwa nani ili aambatae na Makonda?
 
Nchimbi alimuogomba Makonda kuwa ata, mu outshine. Makonda ana mvuto wa watu. Anapendwa kuliko hao wazee , ambao hawana, mvuto. Mambo ni ya kisasa sio ya, kina nchimbi na Makalla hata kuongea tu shida.
Mvuto upi? Au anaringia tako?
Screenshot_20240415_144044_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom