Elections 2010 Kumbe Maalim Seif ni sawa na mkuu wa wilaya?

Tatizo huelewi kuwa asilimia 75 ya waTanzania wanamsikiliza maalim Seif Sharif ,leo hii ikiwa ataamua kuondosha ustaarabu na kuweka ubangi mbele basi anaweza kuisambaratisha Tanzania nzima na watu wasitambuane ,jamaa anasiasa na anajua kufanya siasa na anajua wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ,Seif ni kiongozi mwenye uwezo wa kupanga na kutokea,mastermind.

seif hawezi kuisambaratisha tanzania nzima , hata kidogo, labla kuho zenji, KUHUSU KAZI ZA MAALIMU SEFU, NI KUFANYA KAZI ZOZOTE ATAKAZO PANGIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, MFANO KUHUDHURIA SHEREHE MBALIMBALI, NK.
BAADA YA KUAPISHWA KUWA MAKAMU WA KWANZA, SHEIN ALIMPANGIA KAZI YA KUSHUGHULUKIA UKIMWI NA MADAWA YA KULEVYA
 
Ingawa kila mtu ana uhuru wa
kutoa maoni yake lakini kufikiri kabla ya kutoa maoni ni jambo la busara.Kutotoa zawadi kwenye MICHEZO ndio mtu aporomoke cheo chake?Hebu niambie Mhe.ulimuona mkuu wilaya gan anamsafara?ameingia bungeni kama kiongoz wa juu ktk ufunguz wa bunge?amehudhuria sherehe za kitaifa na akaket ktk jukwaa la viongoz?JIEUNZE KUTAFAKAR KABLA KULETA MADA.
waambie hao kalagabaho mazumbukuku.
 
hapo kwenye blue si kweli. conduct a study wakati huu na wakati wa mfungo. and make your own conclusion
kwani umeambiwa bia ni haram ramazan tu,kajifunze tena kama ni iman yako,kama si iman yako acha kuropoka, usidandie treni kwa mbele.
 
Wacheni matusi ,maalim Seif Sharif Hamad ni kiongozi wa juu ni kiongozi ambae msimamo wake ndio umewezesha Tanzania kufika hapa ilipo,Maalim Seif huwezi kumfananisha na yeyote yule hapa Tanzania kwa ujumla na hao viongozi wenu makoti wanalijua hilo.

Inawezekana mna chuki binafsi ,hilo hakuna wa kuwasaidia ,Seif Sharif atabaki kuwa kiongozi mwenye kuheshimika na kiongozi ambae kwa nchi zetu hizi za Afrika mashariki ni mbora kabisa ,kiongozi ambae ni mwenye busara na mwenye kuona mbali sana. Seif ametoka mbali sana na wananchi wapenda amani wanamthamini.Mnatamania thamani aliyonayo wangeipata hao viongozi wenu lakini wapi aliepewa kapewa wandugu.

waambie mkuu,umenena asali tupu,wao wakaungane na janjaweed au josef kony kwamigwanda ile laguju.
 
Tatizo huelewi kuwa asilimia 75 ya waTanzania wanamsikiliza maalim Seif Sharif ,leo hii ikiwa ataamua kuondosha ustaarabu na kuweka ubangi mbele basi anaweza kuisambaratisha Tanzania nzima na watu wasitambuane ,jamaa anasiasa na anajua kufanya siasa na anajua wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ,Seif ni kiongozi mwenye uwezo wa kupanga na kutokea,mastermind.
Anaweza asambaratishe ZANZIBAR,sio TANGANYIKA,FULL STOP
 
Tatizo huelewi kuwa asilimia 75 ya waTanzania wanamsikiliza maalim Seif Sharif ,leo hii ikiwa ataamua kuondosha ustaarabu na kuweka ubangi mbele basi anaweza kuisambaratisha Tanzania nzima na watu wasitambuane ,jamaa anasiasa na anajua kufanya siasa na anajua wapi pakuanzia na wapi pakumalizia ,Seif ni kiongozi mwenye uwezo wa kupanga na kutokea,mastermind.

Hiyo 75% umeipataje? Kuna research umekuwa ukiiendesha? Tunaomba details zako zilizokuwezesha kufikia hiyo 75%. Namna nyingine huko ndiyo tunakokuita ni kuropoka. Mimi nina imani kuwa katika Tanzania hii kama kuna wanaomsikiliza maalim Seif Sharif itakuwa si zaidi ya 3%. Msingi wa kusema hivyo ni kuwa wananchi waliokipa chama cha CUF kura katika nafasi ya Urais ilikuwa ni about 2%. Na huko Zanzibar wanaomsikiliza ni about 49% ya Wazanzibari, ndiyo kura alizozipata.
 
Nakupongeza mwenzangu unaweza kuropoka kwa kuandika!Lakin sishangai sana kwasababu watu wa dizain yenu huwa wana MWILI MKUBWA AKILI GOROLI!We ulifikiria msafara niliokusudia mimi nikama hiyo uliyoitaja kama ndio hivyo mbona hata SIAFU wanamsafara.Misafara ya kiongoz haiwez kufanana na msafara kama wa ndoa au mwanamuzik(haina ulinz maalum) labda hujawah kuiona ninajua fika baadh ya nchi(sio Tz)Watu maarufu serkal huwapa misafara ya ulinzi.Maalim kupata msafara wenye walinzi ambao hulipwa kodi yako we hata kama hutaki ni Ishara kama yeye ni mtu MKUBWA SERIKALINI.
2:KUINGIA BUNGENI,nimekuelewa naomba ushahidi ni kipengele gan kilivunjwa siku ile Maalim alivyoingia bungeni?
Na kwa taarifa yako juzjuz amefungua semina ya majaji wa mahakama ya haki binadamu ya Afrika.
MWISHO:ASALI HAIWEZ KUWA NAJIS HATA KAMA UTAIITA MAVI YA NYUKI!!!



Hapo kwenye RED mimi nashindwa kukuelewa ni ushaidi hupi unaoutaka wewe? labda tu nikujibu kwamba Maalim Seif sio sehemu ya bunge, na hata Gharib Bilal nae sio sehemu ya bunge, hawa ni marufuku kuingia bungeni mpaka spika awaombe wabunge kwa idhini yao wabunge ndipo wabunge wakikubali basi hapo ndipo hiyo kanuni inavunjwa kwa siku hiyo tu.
Hii ndio stlye walioingilia bungeni akina Ivo Mapunda, Shadrack Nsajigwa (fuso) n.k.
Hizi tittle zingine za kisanii zisiwatie upofu mkashindwa kuelewa ukweli, mtu asiyekuwa na jeshi au mamlaka ya kuamuru jeshi au kutangaza vita mimi binafsi huwa namtambuwa kama kiongozi na si rais. mbaya zaidi hata kwenye mikutano ya UN ambayo marais wote wa dunia wanakutana, wewe kama huna hadhi ya kuhudhuria mikutano hii, hivi ni sahihi wewe kujiita kuwa ni rais? no way i can't buy the story.
Kumbuka kwamba hata TFF wana rais wao ambaye ni Leodgar Tenga.
 
kwa vyovyote itifaki lazima itakua ilizingatiwa,kwa mtazamo wangu Seif yuko juu ya Lukuvi ila nahisi pia Katiba ya huku bara haimtambui kazi kweli kweli
 
kwa vyovyote itifaki lazima itakua ilizingatiwa,kwa mtazamo wangu Seif yuko juu ya Lukuvi ila nahisi pia Katiba ya huku bara haimtambui kazi kweli kweli

Sasa kama katiba haimtambui itakuwaje awe juu ys waziri wa JMT?
 
@Zilo and Doto ndo maana kuna haja ya kuwa na katiba Mpya kuna mkanganyiko saana kwenye haya masuala wana fanya vitu vingine kwa mazoea tu ila ndo hivyo katiba ya bara haimtambui makamu wa 2 wa raisi,ndo maaana hata jk ameliona hili kaona moto wa katiba sio mchezo, amini uasiamni katiba mpya ita tengua muunagno na iki uacha basi kutakuwa na serikali 3,Zanzibar washajitangaza nchi huru na mambo yao,bendera yao,wimbo wataifa wao naomba nishie hapa nisi ibue mjadala
 
Back
Top Bottom