O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,444 25,591 Mar 25, 2012 #2 huyo atakuwa anaimba taarab...
Dunda kwetu JF-Expert Member Oct 3, 2011 265 37 Mar 25, 2012 #4 Mbimbinho said: Kumbe kuna ukweli asee View attachment 50135[/QUO Na suruali yake mlegezo Click to expand...
Mbimbinho said: Kumbe kuna ukweli asee View attachment 50135[/QUO Na suruali yake mlegezo Click to expand...
marejesho JF-Expert Member Jan 6, 2011 6,635 3,655 Mar 25, 2012 #6 Ha ha ha ha!!Aibu !!hawajui kwamba wenzao ndio sauti zao za asili?
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 Mar 25, 2012 #8 Dunda kwetu said: Mbimbinho said: Kumbe kuna ukweli asee View attachment 50135[/QUO Na suruali yake mlegezo Click to expand... Atatupwa Jela we Mwache akatize maeneo ya Mahakama Click to expand...
Dunda kwetu said: Mbimbinho said: Kumbe kuna ukweli asee View attachment 50135[/QUO Na suruali yake mlegezo Click to expand... Atatupwa Jela we Mwache akatize maeneo ya Mahakama Click to expand...
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Mar 25, 2012 #9 kwanza hapo akipo kavaa blauz ya dadake hadi rangi inaonesha dhahiri kabisa..
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Mar 25, 2012 #10 Ni kwamba microphone inanuka ndio maana anabana pua au?
RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member Jan 2, 2012 883 167 Mar 26, 2012 #11 Dah utozi mwingine bana..... Wallet ikiwa na laki 4 anawaza kwenda South africa
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Nov 25, 2010 6,135 17,802 Mar 26, 2012 #12 Nilishaacha kusikiliza nyimbo za hawa jamaa.
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Mar 26, 2012 #13 asee huyu sijui ni microphone inanukaaaa au ni nini..! yani huyu ni mbana pua live kabisaaaa yani teh teh teh teh...!
asee huyu sijui ni microphone inanukaaaa au ni nini..! yani huyu ni mbana pua live kabisaaaa yani teh teh teh teh...!
K Kifulambute JF-Expert Member May 8, 2011 2,539 755 Mar 26, 2012 #14 Nimecheka saaaaananananananananaaa ahhahahahahahahha anamafua
Silverstar Member Jun 2, 2011 10 1 Mar 26, 2012 #15 Ha ha ha! Teh teh teh teh teh,uyo tozi inampasa kuwa makini acjepenga kamasi likatua kwenye microphone coz shoti yaweza tokea
Ha ha ha! Teh teh teh teh teh,uyo tozi inampasa kuwa makini acjepenga kamasi likatua kwenye microphone coz shoti yaweza tokea
S SURUMA JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,892 1,064 Mar 26, 2012 #16 tedo said: huyo atakuwa anaimba taarab... Click to expand... Kanga ndembe ndembe! Laki si pesa huyu kijana naye nina wasiwasi kama kweli ni RIZIKI...
tedo said: huyo atakuwa anaimba taarab... Click to expand... Kanga ndembe ndembe! Laki si pesa huyu kijana naye nina wasiwasi kama kweli ni RIZIKI...
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Mar 26, 2012 #17 Kwa mtaji huu, kuna haja ya kuzidi kuwachukia kwa makusudi.