Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi, "Yuda akamwoza mke Eric, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua. Yuda akamwambia Onani, mzaliwa wake wa pili, uingie kwa mke wa nduguyo ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao."

"Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BBwana, basi akamwua yeye naye."

Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?
Yaani rafiki yangu siku mbili hizi za watoto kufanya mtihani, umepata muda wa kupitia bible ili uje na ushahidi wa jambo la kumwagia nje au ndani

Safi umeutumia muda vyema hongera sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi, "Yuda akamwoza mke Eric, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua. Yuda akamwambia Onani, mzaliwa wake wa pili, uingie kwa mke wa nduguyo ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao."

"Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BBwana, basi akamwua yeye naye."

😳Kumwagia nje hizo mbegu kumbe ni chukizo mbele ya Mwenyezi Mungu wajameni?🤦
Aisee. Mungu alikuwa hapendi ujinga
 
Back
Top Bottom