Kumbe kufanya masturbation kwa wanaume ni muhimu

Mimi nipo mbali na nyumbani, sitaki kumsaliti mke wangu, napiga nyeto kwa kuvuta hisia za picha ya mke wangu(kwani nampenda), sasa hapo dhambi ipo wapi?
hapo huna dhambi kabisa hata mungu anakufurahia maan umeepuka kuzini na wanawake wengine tofauti na mkeo...safi mkuu
 
Jamani nimesoma article moja mtandaoni, inasema masturbation ni normal and natural kwa wanaume na inashauriwa kiafya mtu afanye mara kwa mara na akishindwa kabisa afanye japo mara moja kwa mwezi, inasaidia kupunguza tatizo la kukujoa mapema akiwa anajamiiana na mwenzi wake pia hupunguza mlundikano wa sperms, hii ni aje jamani? hivi ni kweli mnafanya hiyo? Maana mimi nilikuwa najua hicho kitu ni dhambi na mtu hufanya akizidiwa tu. Halafu najiuliza ina maana na bamsapu wangu huwa anafanya hivyo!Mweh!
Merry Christmass!:A S-heart-2:

Naomba publisher na author(s) wa hiyo article kwanza. Kwani hiyo article ni ya kidini au kisayansi kiasi kwamba ibadilishe mtazamo wako kiimani ya kidini juu ya jambo hilo?
 
Back
Top Bottom