Kumbe kufanya masturbation kwa wanaume ni muhimu

MADAM T

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,214
2,401
Jamani nimesoma article moja mtandaoni, inasema masturbation ni normal and natural kwa wanaume na inashauriwa kiafya mtu afanye mara kwa mara na akishindwa kabisa afanye japo mara moja kwa mwezi, inasaidia kupunguza tatizo la kukujoa mapema akiwa anajamiiana na mwenzi wake pia hupunguza mlundikano wa sperms, hii ni aje jamani? hivi ni kweli mnafanya hiyo? Maana mimi nilikuwa najua hicho kitu ni dhambi na mtu hufanya akizidiwa tu. Halafu najiuliza ina maana na bamsapu wangu huwa anafanya hivyo!Mweh!
Merry Christmass!:A S-heart-2:
 
Usihangaike kujiuliza kama bamsap anatumia aua la! majibu mengine ni magumu kuyabeba..
Sikukuu njema.!
 
hakuna kitu kitamu kama hicho. hata K haina utamu kama mastabesheni...kama hafanyi mwambie aanze maramoja
 
"All things are lawful for me," but not all things are helpful. "All things are lawful for me," but I will not be enslaved by anything. "Food is meant for the stomach and the stomach for food"-and God will destroy both one and the other. The body is not meant for sexual immorality, but for the Lord, and the Lord for the body. And God raised the Lord and will also raise us up by his power. Do you not know that your bodies are members of Christ? Shall I then take the members of Christ and make them members of a prostitute? Never! Or do you not know that he who is joined to a prostitute becomes one body with her? For, as it is written, "The two will become one flesh." .
 
Alafu umesahau kitu kingine hii kitu ukipiga sio dhambi kwa Mungu
 
Kwanza inafanya mashine iwe gado... Michubuko ya kitoto toto wakati unafanya ile ya kikweli kweli huwa haitokei. Ninarecommend hata wewe wa jinsia hiyo pia ufanye kamchezo haka. Happy festive season.
 
Jamani nimesoma article moja mtandaoni, inasema masturbation ni normal and natural kwa wanaume na inashauriwa kiafya mtu afanye mara kwa mara na akishindwa kabisa afanye japo mara moja kwa mwezi, inasaidia kupunguza tatizo la kukujoa mapema akiwa anajamiiana na mwenzi wake pia hupunguza mlundikano wa sperms, hii ni aje jamani? hivi ni kweli mnafanya hiyo? Maana mimi nilikuwa najua hicho kitu ni dhambi na mtu hufanya akizidiwa tu. Halafu najiuliza ina maana na bamsapu wangu huwa anafanya hivyo!Mweh!
Merry Christmass!:A S-heart-2:

MADAM T We kiboko,yaani unaonea wivu mpaka masturbation.
 
Kwanza inafanya mashine iwe gado... Michubuko ya kitoto toto wakati unafanya ile ya kikweli kweli huwa haitokei. Ninarecommend hata wewe wa jinsia hiyo pia ufanye kamchezo haka. Happy festive season.

Mweh! na mimi nifanye tena, nafanyaje, na faida ni zipi hizo jamani
 
Jamani nimesoma article moja mtandaoni, inasema masturbation ni normal and natural kwa wanaume na inashauriwa kiafya mtu afanye mara kwa mara na akishindwa kabisa afanye japo mara moja kwa mwezi, inasaidia kupunguza tatizo la kukujoa mapema akiwa anajamiiana na mwenzi wake pia hupunguza mlundikano wa sperms, hii ni aje jamani? hivi ni kweli mnafanya hiyo? Maana mimi nilikuwa najua hicho kitu ni dhambi na mtu hufanya akizidiwa tu. Halafu najiuliza ina maana na bamsapu wangu huwa anafanya hivyo!Mweh!
Merry Christmass!:A S-heart-2:

kwasababu nyeto inasemekana ni vema kiafya ukiwa unapiga mara moja moja!siku nyingine MADAM T unaweza msaidia mzee kumpigisha nyeto, huwa inaleta starehe fulani hivi ukipigishwa na mwanamke!
 
you are right. isipokuwa inachosha sana. mtu akipizi kwa kujichua na mwingine kwa normal sex aliyejichua atakuwa amechoka sana zaidi hata ya mara 10. of cousre kujichua ni kutamu zaidi
 
Siyo kweli kwamba aliyejichua huchoka kuliko aliyefanya normal sex. If anything, it is the opposite
 
Back
Top Bottom