Kumbe kauli Mbiu ya 'Come Sunshine Come Rain' na Kujiamini Kuvuka imekuja baada ya Tajiri Komhonga Kocha Mkongo?

Mshaanza kubadilisha gia angani taratibu, kutoka kwenye msemo wa yanga anapigwa na timu kubwa hal hilal ndo mwisho wao mmerudi kwrnye yanga amehonga kushinda mechi tulieni na iyo timu yenu mnayopambana ipate ushindi mbele ya yanga mliyosema ni dhaifu, tena ni bora msije uwanjani maana mtaaibika vibaya
Yanga anapigwa nje ndani hadi mwenyewe afurahi
 
Back
Top Bottom