Kumbe JIJI LA MWANZA (THE ROCK CITY)ZURI HIVI!!

chee%20038.jpg


chee%20048.jpg


chee%20060.jpg


chee%20061.jpg


chee%20067.jpg


chee%20077.jpg


chee%20079.jpg


chee%20088.jpg


chee%20092.jpg


chee%20099.jpg

Waeleze hao maana hawajui maana ya miji mizuri. Miji mizuri huchagui sehemu ya kwenda, you can go anywhere na bado ni kusafi na kumejipanga vizuri.

Nani ameshafika Gaborone, Botswana. Hakuna sehemu za hovyo na chafu mji mzima!
 
Kila Jiji hua lina vijimambo ukitaka kuvichambua zaidi mwishoe utaliona baya, kwa ujumla jiji la Mwanza ni zuri na maendeleo ya Mwanza yalikua yamebanwa tu kisiasa sasa hivi ndio limefunguka na bado linaendelea kukua tu na jiji la Mwanza bado lina opportunity nyingi za kupiga hela ndio maana ukienda umejipanga lazima utengeneze pesa.
 
Mwanza Sato mpaka barabarani kweli ni noma
 

Attachments

  • DSC01554.JPG
    DSC01554.JPG
    326.9 KB · Views: 43

Similar Discussions

Back
Top Bottom