Kumbe huendi kariakoo

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Kuna mlevi mmoja alipanda dala dala akaenda kukaa seat 1 na mlokole..yule mlokole akamwambia mlevi,kaka unaenda motoni..yule mlevi akajibu ahh konda kumbe hauendi kariakoo?nishushe basi
 
Mlevi 1: Aise mwenzio jana niliota niko Marekani
Mlevi 2: Mi niliota niko kwenye nyumba nzuri kila chumba kina pombe nililewa sana.
Mlevi 1: Una roho mbaya kwanini hukunitafuta?
Mlevi 2: Nilikuja mpaka kwenu, mkeo akanambia umeenda Marekani
 
Wanafunzi wa shule flani waliambiwa watengeneze
t.v kwa kutumia mabox!
Siku ya kuleta hizo t.v wanafunzi wote wakaleta
mabox yao,kasoro dogo mmoja sharobaro alieleta
karatasi kubwaaaa
Mwalimu akamuuliza "We vipi mbona umeleta
karatasi?"
Dogo akamjibu "Hii ni plasma flat screen".
 
hii ni kali mkuu
 
Mwalimu akamuuliza "We vipi mbona umeleta karatasi?" Dogo akamjibu "Hii ni plasma flat screen".
[/QU
hahahahah! huyo mwanafunz kwel sharobaro! Duh
 
sijui sasa mwalimu alimjibuje
 
Mlevi 1: Aise mwenzio jana niliota niko Marekani
Mlevi 2: Mi niliota niko kwenye nyumba nzuri kila chumba kina pombe nililewa sana.
Mlevi 1: Una roho mbaya kwanini hukunitafuta?
Mlevi 2: Nilikuja mpaka kwenu, mkeo akanambia umeenda Marekani

Du,kweli hao jamaa walikuwa bwax!!!!
 
Back
Top Bottom