Kumbe Heslb Haitoi Asilimia Bwana! Dah,..! Cheki Hapa Ujue Ki2 Kuhusu Mkopo Wa Heslb

Arnold Ndosi

Member
Aug 14, 2012
65
3
Nimegundua Kwa Heslb Haikutoa mkopo Kwa Asilimia Kama ilivyojinadi yenyewe kwamba ingezingatia asilimia,0,10,20,30,40,50,60,70,80,90 na 100.
Course Yangu Ni Shlng 1.3mls Wamenipa Mkopo Sh.3797500.nilipoenda Chuo Leo,udsm,nimeoneshwa Orodha iliyo onesha majina ya wanafunz wa sjmc nami nikiwemo,kiwango cha ada walichokopeshwa na ada wanayodaiwa kwa mwaka.mimi nimekopeshwa ada miln1 na ninadiwa laki 3 kwa kila mwaka. ukipiga hesabu vizuri utaona ni asilimia sabn na point kadhaa!!
hii imekaaje wadau?
 
hata mimi nilizipata hz taarifa ila sua wazinguaji sana, so inakuaje kuhusu hzo hela walizokupa bod?
 
Back
Top Bottom