Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Ukipewa namba zinazofuatana katika series yenye constant interval between one number,the previous number and the next number,ni rahisi sana kuzijumlisha,tuanze na idadi witiri ya namba. (a)1+2+3+4+5+6+7+8+9,hizi namba ziko 9,ili kupata jumla kirahisi,chukua namba ya kati izidishe na idadi ya namba i.e 5*9=45. (b)3+5+7+9+11,itakuwa;7*5=35. (c)11+22+33+44+55,itakuwa;33*5=165.KWA IDADI SHUFWA,kwa mfano;11+22+33+44,fanya hivi;(11+22+33)+44,itakuwa (22*3)+44=110,pia 1+4+7+10+13+16,itakuwa;(7*5)+16=51.Very easy!