Kumbe hata mimi raia wa kawaida ninao uwezo wa kuwinda kisheria?

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Kumbe sera ya wanyamapori kupitia wizara ya maliasili na utalii. Kuna utaratibu wa kuwinda wanyama?

Maoni yangu kibali kisiwe cha gharama kubwa ili kuwawezesha watanzania kujipatia vitoweo kwa ajili ya kujiimarisha kiuchumi na kiafya maana mfano wale swala wanazaliana kwa wingi sana, au wakuu nimekosea?
 
Back
Top Bottom