tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
mara nyingi watu wamekuwa wakishauriwa watafute shule za kufundisha pale kunapokuwa na ugumu wa kupata kazi ya fani waliyoisomea. Mimi nimeamua kufuata huo mkondo lakini ninayokutana nayo kwenye hizi shule yanakatisha tamaa. Wengi wanataka waliosomea ualimu, hapa nimeambiwa ningekuwa nimesoma BeD ningepata..sijui inawezekana vipi Bcom kuwa Bed? Wadau mwenye kuhita mwalimu wa Mathematics/Geography/Economics, tuambizane.