Kumbe freemasons ni watu poa sana!

Mimi nachotaka kujua nikwamba watu waliochukuliwa na freemason wanakwenda wapi?

Nikiunganisha na kanumba na sharo
Wapo mkuu na duniani huwa wanarudi sana tu ila huwa wanaonekana kwa watu wachache, then wanarudi kuzimu maana hawana tena uhuru, kuna kipindi taarifa fulani zilikuwa zinavuma fulani kaonekana sehemu fulani sijui ananunua vocha, sijui anafanya vile ndio kuonekana kwao then wanapotea, sio kwamba ni kiki mkuu, lisemwalo lipo kumbuka, duniani huja kwa kazi maalum ambayo haina faida binafsi tena kwao bali kwa utawala waliouchagua enzi za uhuru wao walipokuwa wakitumika kwa faida ya utajiri na mafanikio ya muda mfupi. Kwa habari ya kazi wanazofanya nafikiri hapo tuparuke kwanza , ila naimani umepata mwanga fulani.
 
Hivi mkuu si bible inasema kabla hawajafanikiwa kuuteka ulimwengu wote si ndo hapo mwana wa Adamu atarudi kuwatwaa watakatifu?au huu mpango kazi wao wa kutawala ulimwengu wote ni kabla ya Yesu kurudi?
Inaonekana una details baadhi mkuu wala hujakosea, Mungu wa haki (yeye asiye na kikao na wanadamu) hataruhusu watoto wake aliowagharamia kwa gharama kubwa ya kafara ya damu ya mwanae mpendwa wakumbwe na janga la utawala huo dhalimu na ni kwa sababu ya hao watakatifu wake ndio maana anazuia (maana yeye ndie anazuia mipango yao mingi isitimie kwa sababu ya watoto wake anaowapenda ambao bado wapo duniani ,Maana huyu Mungu wa haki anahuruma sana na maisha ya mwanadamu anaweza kuponya au kuzuia mabaya yasilipate jiji zima la Dar es salaam kwa sababu ya mtoto wake mmoja au wawili tu waaminifu) sasa wakishaondolewa hao watakatifu wake hana tena sababu ya kumfanya azuie na kama isingekuwa kuzuia kwake walikuwa wameshaazimia kuiteka mapema haraka iwezekanavyo,usione hii nchi au bara au dunia nzima tupo salama ukafikiri ni amani, huenda kuna kakikundi ka watu waaminifu wasiozidi hata mia moja ndio sababu ya amani ya raia zaidi ya million 60, lakini sababu ya upofu wa roho kakikundi haka kadogo kanaonewa na kupingwa na kuteswa vikali, maana ndio sababu ya amani na haki hii kiduchu iliyobaki kwenye Dunia au nchi lakini baada ya unyakuo (sijasema kurudi mara ya pili), namaanisha unyakuo kwanza atakapochukua walio wake, na wengine kuuwawa pasipo haki (kudhulumiwa uhai wao kabla ya siku zao), watakapoisha tu kuonekana katika uso wa nchi, wale watakao baki "watajiponya kwa gharama zao wenyewe," namaanisha ataondoa nguvu zake za kuwazuia hawa mabwana na ndipo watakuwa na mamlaka kamili, ni kipindi cha kuogofya sana hicho usiombe kikukute. Ndio maana ni bora kuwa mwaminifu mpaka kufa hata kama ni kwa kuonewa, kuliko kutetea maisha yako halafu kikukute hicho kipindi, maana ndio kipindi watu watakitafuta kifo hawatakiona, watatafuta mauti, mauti nayo itawakimbia, kwa hiyo mateso yapo maumivu yapo,vilio vitajaa kila kona lakini no kufa, ni mateso mwendo mmoja, (Ndio maana ya yale maneno "yeyote atakaye kuyaponya maisha yake katika ulimwengu huu wa sasa atayapoteza, na yeye atakaye yapoteza maisha yake kwa ajili ya jina langu katika ulimwengu huu wa sasa atayapata hata uzima wa milele"), Maana itafika kipindi patabana kote, hutaweza kuuza wala kununua, hutapata huduma yoyote ile ya kibinadamu, kibenki, au kiserikali isipokuwa umemsujudia Master kwanza, ndio kipindi imani za watu zitapimwa na kujaribiwa kama mtu anavyopepeta ngano, ndio itajulikana wenye dini au wenye imani kina nani watasimama, maana kuna watu wameshika dini kama vile ndio Mungu wao, lakini hawana imani ya kile wanachokitetea, sasa ndio itajulikana, kati ya waabudu halisi na wazugaji, hapa hakuna wa kumtetea au kumsemea mwenzake hata mchungaji wako au imamu au mzee wako wa kanisa na yeye ban itamhusu hakutakuwa na msimamo wa pamoja eti sisi dhehebu fulani tunaamua kufa kwa njaa au kukosa huduma muhimu ili tusimsujudie Master, wengine waoga na ni viongozi wa juu, akiona mtoto wake hajala siku mbili roho inamuuma, akifikiri uhai wa mtoto wake ni bora kuliko utii kwanza kwa Mungu, (jifunze kwa Ibrahim), ndio utajua amri ya Mwenyezi Ina thamani kuliko uhai wa mtoto unaempenda, maana alikuwa tayari hata kuyaangamiza maisha ya mwanae mpendwa kwa mikono yake mwenyewe, kwa ajiri ya amri ya Mwenyezi, ndipo Mungu alipomheshimu zaidi na kumjalia uzao kama mchanga wa bahari, ki ukweli kumlingana Bwana inahitaji kujikana nafsi na kuubeba msalaba wako mwenyewe halafu unamfata kila aendako, kuwa tayari kwa lolote kwa chochote kwa ajili ya jina lake halafu uone kama utapoteza chochote, sio porojo tu baada ya kushiba ugali ,hutapoteza kitu maana upendo wake kwa wanadamu aliowaumba haupimiki na anahuruma sana kuliko sisi tunavyohurumia familia zetu na wapendwa wetu, ila ana wivu sana anapoona ibada yake inaibiwa na kupelekwa pengine. Atakaevumilia mpaka mwisho ndie atakae okolewa, Amri ni moja haigeuki kuwa mwaminifu mpaka kufa ( sio mpaka uzidiwe au uzimie au uteseke au ukatwe mguu au mkono ni mpaka kufa).
 
Na Mwana wa Adam alikuja ulimwenguni humu mara mbili mara ya kwanza kuukomboa ulimwengu na mara ya pili atakuja kuuhukumu ulimwengu pamoja na mungu wa dunia hii(Master). Kwa hiyo hizi vurugu zote ni kabla hajarudi mara ya pili, maana akiisharudi hakuna maisha tena duniani ni either Jehanum or heaven and after that zitaumbwa mbingu mpya na nchi mpya ambayo haki yakaa ndani yake ndipo andiko litatimia "wenye haki watairithi nchi", sio nchi hii ya sasa ni ile mpya idumuyo milele, maana sharti ni moja kila lililotabiriwa na manabii na waonaji wa Bwana lazima litimie, kama neno lisemavyo mbingu na nchi ya kwanza iliwekwa akiba kuangamizwa kwa maji (siku za nuhu), lakini hizi za sasa zimewekwa akiba kwa ajili ya moto usiozimika.
 
Among the top secret society in the world hiyo ni mojawapo. Sasa nashangaa haya machapisho mnayabuni kutoka wapi
Hamna siri ya kuanzia watu wawili siri ni ya nafsi na Muumba wake ila ukiisha zungumza hatuiti tena siri, sema tofauti itakuja kwenye level ya kamba yako ku access hizo information
 
Nasikia HUWA hamsajiri member maskini?
Nafikiri umasikini ni nadharia pana sana sijajua unamaanisha umasikini upi, maana hata ukipungukiwa maarifa unakuwa masikini wa fikra, na ndio maana mganga wa kienyeji anakaa kwenye kajumba ka nyasi lakini anamtengenezea mtu dawa ya kwenda kutengeneza mabilioni, sio kwamba ni mjinga hajitambui anaelewa nini anafanya, watu wa rohoni wanaelewa jinsi gani fedha au majumba au magari ambavyo hayana thamani katika ulimwengu wao, maana kwao chenye thamani ni nguvu na uwezo, akiwa na hivyo tu vilivyobaki vya mwilini kuvipata ni kugusa tu, ila nachojua yeyote anaweza sajiliwa/kujiunga ilimradi ibada kwa Master tu na sadaka zitolewe kwa wakati na kulinda kiapo na mkataba alioingia, maana mpaka kuna mikataba wanasainishwa tena yenye masharti magumu (ingawa sio wote), ndio maana saa hizi wanatafuta watu wa aina zote, ila sio kwa matangazo kama ninavyoona sehemu nyingi, sijui mabango kwenye nguzo za umeme/matangazo sijui namba zetu utupigie ukiona hivyo ujue hao matapeli hakuna freemason hata mmoja hapo huwezi kuungwa freemason bila kupelekwa na mtu ambaye tayari yupo kule na mara nyingi lazima awe anakujua wewe ni mtu wa namna gani, namaanisha huenda akawa rafiki yako uliesoma nae ila kwa sasa maisha yake sio ya kitoto, au hata ndugu yako, au business partner, naomba niishie hapa maana sifundishi jinsi ya kujiunga ila nakuelekeza ogopa matapeli mjini, kuzimu huwa haijinadi kwa matangazo ya hivyo na hawasajiliwi kwa kujaza form sijui wapi ni unapelekwa mzima mzima na mara nyingi hutajua, wanakujaga kutambua tayari wameshanasa, ingawa wengine huwa wanajua kabisa ila most huwa inawakuta tu tayari yumo na hakuna namna ya kutoka.
 
Wabongo kwa kutunga na kubunibuni mambo utawaweza.
Sawa mkuu, kama shetani ni mwigizaji siku sawa, lakini ni kama yule yule basi tambua hata kama hujaambiwa zipo kafara hutolewa Master hanaga kitu cha bure, vyote vinalipiwaga kwake tena kwa gharama kubwa ya nafsi za watu wasio na hatia, ambazo hazikuwa zimemshika vizuri Mungu wa haki, asiye na kikao na wanadamu.
 
Hamna siri ya kuanzia watu wawili siri ni ya nafsi na Muumba wake ila ukiisha zungumza hatuiti tena siri, sema tofauti itakuja kwenye level ya kamba yako ku access hizo information

Inaonekana una details baadhi mkuu wala hujakosea, Mungu wa haki (yeye asiye na kikao na wanadamu) hataruhusu watoto wake aliowagharamia kwa gharama kubwa ya kafara ya damu ya mwanae mpendwa wakumbwe na janga la utawala huo dhalimu na ni kwa sababu ya hao watakatifu wake ndio maana anazuia (maana yeye ndie anazuia mipango yao mingi isitimie kwa sababu ya watoto wake anaowapenda ambao bado wapo duniani ,Maana huyu Mungu wa haki anahuruma sana na maisha ya mwanadamu anaweza kuponya au kuzuia mabaya yasilipate jiji zima la Dar es salaam kwa sababu ya mtoto wake mmoja au wawili tu waaminifu) sasa wakishaondolewa hao watakatifu wake hana tena sababu ya kumfanya azuie na kama isingekuwa kuzuia kwake walikuwa wameshaazimia kuiteka mapema haraka iwezekanavyo,usione hii nchi au bara au dunia nzima tupo salama ukafikiri ni amani, huenda kuna kakikundi ka watu waaminifu wasiozidi hata mia moja ndio sababu ya amani ya raia zaidi ya million 60, lakini sababu ya upofu wa roho kakikundi haka kadogo kanaonewa na kupingwa na kuteswa vikali, maana ndio sababu ya amani na haki hii kiduchu iliyobaki kwenye Dunia au nchi lakini baada ya unyakuo (sijasema kurudi mara ya pili), namaanisha unyakuo kwanza atakapochukua walio wake, na wengine kuuwawa pasipo haki (kudhulumiwa uhai wao kabla ya siku zao), watakapoisha tu kuonekana katika uso wa nchi, wale watakao baki "watajiponya kwa gharama zao wenyewe," namaanisha ataondoa nguvu zake za kuwazuia hawa mabwana na ndipo watakuwa na mamlaka kamili, ni kipindi cha kuogofya sana hicho usiombe kikukute. Ndio maana ni bora kuwa mwaminifu mpaka kufa hata kama ni kwa kuonewa, kuliko kutetea maisha yako halafu kikukute hicho kipindi, maana ndio kipindi watu watakitafuta kifo hawatakiona, watatafuta mauti, mauti nayo itawakimbia, kwa hiyo mateso yapo maumivu yapo,vilio vitajaa kila kona lakini no kufa, ni mateso mwendo mmoja, (Ndio maana ya yale maneno "yeyote atakaye kuyaponya maisha yake katika ulimwengu huu wa sasa atayapoteza, na yeye atakaye yapoteza maisha yake kwa ajili ya jina langu katika ulimwengu huu wa sasa atayapata hata uzima wa milele"), Maana itafika kipindi patabana kote, hutaweza kuuza wala kununua, hutapata huduma yoyote ile ya kibinadamu, kibenki, au kiserikali isipokuwa umemsujudia Master kwanza, ndio kipindi imani za watu zitapimwa na kujaribiwa kama mtu anavyopepeta ngano, ndio itajulikana wenye dini au wenye imani kina nani watasimama, maana kuna watu wameshika dini kama vile ndio Mungu wao, lakini hawana imani ya kile wanachokitetea, sasa ndio itajulikana, kati ya waabudu halisi na wazugaji, hapa hakuna wa kumtetea au kumsemea mwenzake hata mchungaji wako au imamu au mzee wako wa kanisa na yeye ban itamhusu hakutakuwa na msimamo wa pamoja eti sisi dhehebu fulani tunaamua kufa kwa njaa au kukosa huduma muhimu ili tusimsujudie Master, wengine waoga na ni viongozi wa juu, akiona mtoto wake hajala siku mbili roho inamuuma, akifikiri uhai wa mtoto wake ni bora kuliko utii kwanza kwa Mungu, (jifunze kwa Ibrahim), ndio utajua amri ya Mwenyezi Ina thamani kuliko uhai wa mtoto unaempenda, maana alikuwa tayari hata kuyaangamiza maisha ya mwanae mpendwa kwa mikono yake mwenyewe, kwa ajiri ya amri ya Mwenyezi, ndipo Mungu alipomheshimu zaidi na kumjalia uzao kama mchanga wa bahari, ki ukweli kumlingana Bwana inahitaji kujikana nafsi na kuubeba msalaba wako mwenyewe halafu unamfata kila aendako, kuwa tayari kwa lolote kwa chochote kwa ajili ya jina lake halafu uone kama utapoteza chochote, sio porojo tu baada ya kushiba ugali ,hutapoteza kitu maana upendo wake kwa wanadamu aliowaumba haupimiki na anahuruma sana kuliko sisi tunavyohurumia familia zetu na wapendwa wetu, ila ana wivu sana anapoona ibada yake inaibiwa na kupelekwa pengine. Atakaevumilia mpaka mwisho ndie atakae okolewa, Amri ni moja haigeuki kuwa mwaminifu mpaka kufa ( sio mpaka uzidiwe au uzimie au uteseke au ukatwe mguu au mkono ni mpaka kufa).
Nimekupata mkuu
Nimeelewa zaidi sasa hata sababu ya baadhi ya wachungaji kuwa walivyo
Inaelekea wewe ni mpakwa mafuta wa Bwana mkuu,nishushie upako!
 
Halafu wakulu kumbukeni vyama vya waabudu shetani sio freemason tu, vipo vyama kama 11, kama sijasahau ila kama viliongezwa au kupunguzwa hivi karibuni sifahamu ila kuna hiki cha hawa mafia waliovaa ngozi ya kidini ila ndani ni majitu ya kutisha na duniani huonekana kama wachamungu hatari lakini kumbe ndio devil worshipers wa viwango vya lami ,"Jesuits", jina lisikuchanganye ukadhani kuna uzima hapo maana hata nabii wa mchongo hawezi kufungua kanisa akaliita kuzimuni church hatapata watu atajiita kajina kazuri kakutia moyo na matumaini lakini hakuna kila kitu, mfano Arise and shine ministry, ila ni mfano tu ndugu zangu mtajijua mkichukulia serious ,mi nimesema mfano tu sasa wewe jiongeze mwenyewe lakini mimi nimetolea mfano "halisi " ili uelewe, ila tuachane na hayo kwanza, hata hivyo uzi unahusu freemason tu au "nasema uongo ndugu zangu" in the late voice .
 
Wapo mkuu na duniani huwa wanarudi sana tu ila huwa wanaonekana kwa watu wachache, then wanarudi kuzimu maana hawana tena uhuru, kuna kipindi taarifa fulani zilikuwa zinavuma fulani kaonekana sehemu fulani sijui ananunua vocha, sijui anafanya vile ndio kuonekana kwao then wanapotea, sio kwamba ni kiki mkuu, lisemwalo lipo kumbuka, duniani huja kwa kazi maalum ambayo haina faida binafsi tena kwao bali kwa utawala waliouchagua enzi za uhuru wao walipokuwa wakitumika kwa faida ya utajiri na mafanikio ya muda mfupi. Kwa habari ya kazi wanazofanya nafikiri hapo tuparuke kwanza , ila naimani umepata mwanga fulani.
Aisee inatisha,!!!. Vipi kuzimu kupo ki mazingira kama ya duniani au kunaonekana vipi na hao ndugu zetu waliochukuliwa wanalala na kuishi kama maisha ya duniani?
 
Muonekano wake ni wa ajabu na wa kitofauti sana na dunia yetu, ukibahatika kupaona ndio utaelewa Dunia yetu kumbe inapendeza na ni nzuri inavutia hata kwa kutazama tu ukiachilia mbali kuishi, ukiona Nuru ya jua, mwezi, wanyama, viumbe hai, maporomoko ya maji,mimea hai, miti,milima ,mabonde vyote hivi kwa pamoja huonesha na kueleza upendo wa Mungu kwa wanadamu, na ukarimu wake kwa viumbe alivyoviumba kwa jinsi vinavyopendeza hata kwa kutazama ndio maana ya lile neno" Bwana Mungu akaona na tazama ni vyema sana " hii ni kumaanisha hata Mungu mwenyewe baada ya kuumba aliona nafsini mwake kweli nimeumba kitu kizuri, lakini kule hapakutengenezwa Mungu akiwa anafurahi

Ilikuwa ni baada ya vita kuu mbinguni Ndio mmoja wa wale wakuu wa mbele, Kerubi afunikaye , nyota ya asubuhi, mbeba Nuru/Light bearer (Lucifer) aliposhushwa,(kutupwa) kama umeme mpaka pande za mwisho za shimo, na jeshi lote lililokuwa upande wake na huko ndio kukawa makao yao mapya hakuna uumbaji wowote wakufurahisha huko, anga lake muda wote ni kama lina mawingu mazito meusi meusi, hakuna nuru kama vile ya jua ila mwanga upo sasa sijajua huwa unatoka wapi, mazingira yake ni kama utusi utusi, hakuna miti, hakuna uzuri kama wa duniani, pamoja na kuwa dunia imechoka, lakini ukilinganisha na kuzimu inavutia bado, lakini kingine cha kushangaza hakuna mchana wala usiku, na ndio maana ukiwa unaenda lazima uwe kama unashuka chini ya dunia, maana ni shimoni, na ukiwa unarudi duniani ni kama unapanda kutoka shimoni maana Dunia ipo juu na kuzimu ipo chini, sasa usiniulize kiaje, juu ya Dunia ni wapi na chini ni wapi, we elewa tu, maana ndio pako hivyo maana mi mwenyewe mpaka leo sijawahi kuelewa kwanini ipo hivyo na inawezekanaje, lakini ndio hivyo ukistaajabu ya kuzimu utayaona ya rohoni. Na kuna malango hapa duniani ambayo Ndio hutumika kuingia au kutokea, mf: matundu ya vyoo, makusanyiko ya maji mengi(bahari, ziwa), visima visivyokauka, mito mikubwa, makaburini, njia panda,kwa wale magwiji hata katikati ya chumba, chumba chochote pale katikati yake sasa ni njia hiyo ila ikumbukwe njia nyingine ni za magwiji tu ya kichawi, kurutu wa kawaida hawezi , mf hii ya katikati ya chumba. Halafu kuna zile njia maarufu kumbukeni lisemwalo lipo, pale bagamoyo road, kama unaenda... Au basi tu hata hivyo sio sehemu ya mada.

Wengi hawafahamu hata unaposema kuzimu unamaanisha nini, kwenye kiebrania, hutumia neno Sheol kueleza sehemu yenye giza zito lisilo penyeka kirahisi ambapo dead souls huenda, wagiriki wao walitumia neno abyss kumaanisha bottomless pit, yaani shimo kisilo na mwisho lenye giza, lakini kwa jina lake halisi kwa lugha ya wahenga wa kule, panafahamika kama Sheole Mapkzye (inasomwa hivyo hivyo usiweke uzungu wako), tafsiri yake ni mahala pa ufu, au sehemu ambayo vitu vimekufa au vinaendelea kufa, kwa hiyo unaposema kuzimu sehemu yoyote ile jua unaongelea mahali pa ufu, ninaposema ufu haimaanishi hakuna nafsi zinazoishi kule, maana kufa sio kupotea wala kulala, wala kupumzika (pumziko ni kwa watakatifu tu ila ukifa na midhambi yako hakuna kupumzika ndio unaanza maisha mengine ya kuogofya sana, hayaelezeki ndugu zangu acheni dhambi, acheni dhambi nawaambia kwa mara nyingine kule nafsi zinateswa katika viwango vya juu sana vya kuogofya 🥲, inasikitisha lakini tuendelee kwanza na usidanganywe eti ndugu zako watatoa sadaka kwenye misa uombewe utoke, huo ni utapeli, ogopa matapeli, ukiingia umeingia mageti yake yana minyororo mikubwa na walinzi wakali juu, usidanganywe huwa hatoki mtu kule, kwa kuombewa msamaha na watu wa duniani, matendo yako siku za uhai wako ndio yataamua), ni maisha kabisa mengine huku ukiwa umetengwa na Mwenyezi (Muumba wako) milele, maana kitendo cha kutengwa na Mungu aliye hai ndio kinaitwa kifo, ni kama vile umtenge samaki na maji, au mmea na ardhi, vivyo hivyo mwanadamu aliumbwa ili amtegemee na kumtumikia Muumba wake kama vile maji yalivyo mazingira ya asili ya samaki, akitoka njee ya hapo, hata ikitokea hajafa basi ataishi maisha magumu kupindukia, ndivyo ilivyo kwa mtu, mazingira yake ya asili ni Muumba wake (Mwenyezi) , ikitokea kwa namna yoyote ile akatengwa na mazingira yake ya asili huyo tunahesabu amekufa na kupotea, hata kama bado anatembea ni suala la muda tu atakauka, maana hata samaki ukimtoa majini hafi hapo hapo kuna ka muda katapita akijutupatupa baadae kwishnei,

Ingawa kuzimu siyo sehemu moja tu kubwa ukumbuke, imegawanyika mara tatu, nafikiri tukipata muda tutaendelea katika hizi sehemu kuu tatu ambazo kwa pamoja ndio zinaunda hicho unachokiita kuzimu, maana kuna watu wanafikiri ukishaingia kuzimu hapo hapo utamwona kanumba, sharo millionaire, Lucifer, majeshi ya mapepo, ndugu zako waliokufa, hapana sio hivyo imegawanyika mara tatu ndugu zangu, ipo sehemu ya waliohai ambayo ndio hao wanaoenda na kurudi, lakini ipo sehemu ambapo wafu wote wenye dhambi huenda huko huwa hatoki mtu, halafu ipo sehemu ambapo enzi ya Lucifer ndio imekaa (sijasema Lucifer amekaa nimesema enzi yake, maana yeye mwenyewe yupo kazini duniani) huko ndio kuna yale mapepo mabaya kabisa, na hayajawahi kufunguliwa huko tangu yatupwe na kama yale yakiachiliwa hata dk moja duniani, hatutaiita tena dunia, ila kipindi cha mwisho yatafunguliwa yote sijui itakuwaje kwa watakaokuwepo.

Naomba niishie hapa kwanza siku tukipata muda tutaziangalia kwa undani moja baada ya nyingine na majina yake na kazi zake zote ila hapo juu tu ni dondoo chache kuhusu kuzimu.
 
Ukweli ni kwamba freemason hawapingi Mtu kuwa wa dini yoyote na ndio maana moja wapo ya sharti lao kuwa member lazima uwe muumini wa hizi mainstreaming religion na hii ni kwa sababu wanataka watu wanaoamini kuhusu divine being (God or gods) maana kama huamini kuhusu divine being hata wao utawasumbua maana kuna Mambo ya kiibaada za kishetani itabidi itabidi ufanye so kama huamini kuhusu Superior being in spiritual realm hata shetani hutamwamini pia na kinachotakiwa hapo ni imani kwa hiyo huwezi kuendana nao na ndio maana freemason yoyote unayemjua lazima utakuta ni muumini mmoja wapo wa hizi mainstreaming religion kuanzia yule mkuu wao kwa Tz (maana anajulikana wala sio siri) mpaka member wengine wa kawaida, kiufupi ni watu wanaojua nini wanafanya na wameamua kumuabudu Lucifer kama Mungu wao kwa hiari with full understanding wa kile wanachokifanya.

Sasa kuna mtu anashangaa inawezekanaje kusali kanisani au msikitini na bado kuwa Freemason, mpendwa inabidi utambue kuna Dini na Imani, Dini ni mfumo waliojiwekea wanadamu katika kumtafuta Mungu, lakini kumbuka hakuna aliyewahi kumwona Mungu, na ndio maana mfumo wa dini moja ni tofauti na nyingine, maana yake ni nini sasa, maoni na mawazo ya waasisi wa dini zetu (sio imani) katika kumtafuta Mungu ingawa huenda ni kwa nia njema, yalitofautiana kulingana na kila mmoja alivyokuwa na idea yake kumhusu Mungu na namna gani ya kumuabudu kwa kumpendeza.

Lakini imani ina asili ya uungu, au naweza kusema ndio mpango halisi wa Mungu kumtaka mwanadamu amuabudu katika namna gani ambayo inampendeza, ndio maana mtu hata asipokuwa muumini wa hizi mainstreaming religion kuna kitu kingine atakuwa anakiabudu na kukiamini maana ibada na imani ni asili tuliyoumbiwa lakini Dini tumejitengenezea wenyewe (sijasema ni mbaya) kwa makusudi mbalimbali maana kila Dini (sio imani kumbuka) inategemea mwanzilishi wake alikuwa na mtizamo na makusudi gani kuianzisha.

Kwa hiyo inawezekana kabisa akawa muumini mzuri tu wa Dini fulani, na kwa sababu ya nature ya jamii tunazoishi (maana mtu akiwa anaenda kwenye nyumba za ibada hata kwenye jamii ni mtu anaechukuliwa amestaarabika na ana utu fulani), Lakini IMANI yake sasa imejengwa katika kitu kingine tofauti na huko unakomuona kila siku za ibada yupo. Maana freemason ni kama uchawi kwa mantiki ya kujificha (mazingara ombwe) na ndio maana zinaitwa secret societies zikiwemo Skull and bones society n.k). Why they do called secret societies? Kuna siri gani hapo ingawa hili ni somo refu lakini siku nikipata muda nitakueleza sio tu imani yao na siri pia zilizojificha kwao.

Na katika uchawi wenye nguvu kubwa ni wa hawa members ni wachawi wa high quality, hakuna tunguli,sijui kujipaka majivu, masizi, sijui kuruka ungo, wao utawakuta na suti yake safi huku anasukuma v8 yake, kinachowapa nguvu sana kuliko wachawi wengine ni ule mkataba walioingia katika kumtumikia moja kwa moja Lucifer kama Mungu wao huku wakielewa kile wanachokifanya, kwa hiyo hupokea nguvu yao moja kwa moja kwa Lucifer mwenyewe na mashetani wakuu maana tayari waliwahi kuwa waaumini katika Dini zao na walifundishwa habari za Mungu tofauti na Lucifer ila kwa hiari wakamchagua.

Nina mengi ya kusema kuhusu hivi vyama lakini kiukweli kuna ushetani mwingi unafanyika huku,sema watu hawafahamu wao ukiwaambia freemason picha inayokuja ni watu wenye pesa na mafanikio ya kidunia(sipingi kuwa hawana) lakini behind hizo pesa na hayo mafanikio hakuna anayejua nini kinaendelea na hawawezi kujua maana hata member wenyewe wanaviapo zaidi ya vitatu vya kutokutoa siri, ndio maana leo hata umkamate member mmoja umwambie tunakuua au useme kila kitu, nakuhakikishia atakakimbilia kitanzi kuliko kusema, ingawa naonaga humu JF kuna watu wanajaribu kuelezea lakini ukisoma vizuri utagundua, they know nothing kuhusu hawa monsters au wanagusa vitu vile vya juu juu tu ambavyo hata wao huruhusu watu wengine wavijue maana haviathiri maslahi yao, lakini ukipagusa penyewe nakuhakikishia uwe umejipanga vizuri maana hata wao wamejipanga kuilinda siri yao kwa gharama zote na hii niliwahi kusema na ninarudia tena kuwa uchawi una kawaida ya kukosa nguvu kwako unapofunua siri yake maana uchawi ni kujificha (mazingara ombwe) ukiufichua huwa unakawaida ya kupoteza uwezo wake kwa mhusika.

Lakini niwatahadharishe usije kuona mtu tajiri anatikisa jiji au nchi kabisa halafu ni member nyuma ya hizo mali kuna Nafsi nyingi sana,zisizo na hatia zimedhurumiwa uhai, maana watu wanafikiri freemason ni moja, ila ndani kuna vitengo mbalimbali kikiwemo cha machinjo na kusababisha ajali na magonjwa ili kupata damu maana ufalme wa giza umeimarishwa kwa kafara za damu za wanadamu, kuna illuminate ingawa wengine wanafikiri hiki nacho ni chama cha siri lakini sio kweli ila hiki ninaweza kusema ni kitengo cha intelligence na mastermind katika freemason huku ndio utakuta ma genius wanaopanga mikakati ya kidunia, dunia iendeje?, nini kifanyike? ili kipi kitokee na kwanini isiwe vile?, huwa mnasema JF the home of great thinker lakini hamjui msemalo (utani tu ) ila maana yangu ni kuwa kule ndio kuna watu ni wanadamu kama wewe ila mpaka leo hata mimi huwa najiuliza hivi ni wanadamu 100% au kuna namna.
Msione sijui matukio ya kigaidi sijui waasi wa wapi sijui pandemic gani ya kiulimwengu ndugu yangu havitokei by nature, kuna watu kabisa wanaopanga nani apigane na nani ili iwe hivi, nani amuue nani ili kitu fulani kitokee, ingawa kuna vingine vinaonekana vimekaa kiimani zaidi (mf.ugaidi) , lakini hiyo ni danganya toto behind the scene kuna mastermind na ma great thinker wameplan ili kije kitokee kitu fulani kwa lengo fulani ili kutimiza matakwa yao ya kuutawala ulimwengu.

Sasa mwingine atajiuliza kama wanauwezo wa kufanya hayo yote wanashindwaje kuutawala ulimwengu, labda hufahamu hiki kitu nikujuze, kiukweli ulimwengu uliumbwa na Mungu pamoja na vitu vyake akiwemo mwanadamu, kwa hiyo ulitengenezwa katika namna ya ku favour utawala wa kiMungu au mamlaka za nuruni ndio maana watu kwenda ibadani kusali akiwa na Bible yake sio shida, kufanya mikutano ya hadhara ya injili nijambo lakawaida ila je uliwahi ona wachawi au freemason wanafanya ibada zao au mambo yao hadharani, hata tu elimu ya giza haipatikani kirahisi kama unavyoweza enda Sunday school ukafundishwa habari za Mungu, hii ni kwa sababu nature ya ulimwengu tuliopo haijaweza kubeba ushetani wa kutosha ili igeuke iwe ya giza ili wao waitawale wanavyotaka maana wao ndio wenye mamlaka ya gizani ndio maana kuna mambo yao kutoka sheol mengine hupingwa na wanakuwa hawana uwezo wa kuforce(mf,ushoga),

Ila mkakati upo wa kuitawala na mpaka saa hizi unatekelezwa ila kuna watu wanazuia kwa namna fulani (ingawa sipo kidini) maana siko hapa kutetea dini yoyote au imani fulani ila naelezea ninachokijua

Kuna watu wa imani fulani huwa wanaomba sana na kufunga tena wakati mwingine kwa kukemea na kuvunja kabisa kwa jina fulani. Hawa ndio kikwazo kikubwa kwa sababu katika kunena kwao kuna mipango mingi huwa inaharibiwa na hata kama imeanza kutekelezwa huwa inafell na ndio sababu wakaundiwa kitengo maalum katika freemason (sitakitaja kwa jina kwa sababu fulani) ambacho hu deal na watu wa imani hii na katika nyumba zao za ibada kuwaharibu na kuzisambaratisha ili wasielewane na ile nguvu ya maombi yao ipotee ili watimize mambo yao ,usione leo pastor kazini na muumini wake ukafikiri ni tamaa tu ya kawaida ya kibinadamu au anatoa mpaka rushwa ili awe askofu au ana wake wawili, ndugu mambo hayatokei hivi hivi, hapo mtu kaishatumiwa swaibu zinaa mapema sana linamuendesha tu, usione kwaya zinavunjika kwa sababu ya zinaa (something is working behind physical reality).

Sasa utajiuliza mtu wa Mungu inawezekanaje akatumiwa jini likampata, kuna siri kubwa sana hapa unakuta mpaka kufikia kumshinda hivyo wamemuwinda karibu miaka 3 mpaka 5 maana sio kazi rahisi kama unavyofikiri na jini kwa mfano wa zinaa anayetumwa kwa mtumishi fulani wa Mungu aliyesimama ni tofauti na yule anayetumwa kwa kabinti fulani hapo mtaani kwenu maana ingawa kazi ni moja lakini yanatofautiana sana kwa nguvu na uwezo wa kiutendaji(somo lingine), na kibaya anayewindwa hajui kama anawindwa, kwa hiyo kupitia mistake zake ndogo ndogo akiteleza tu wanaye, na hakuna kitu kigumu kama kushindana na adui usiemwona na hujui kama akuwinda ndio maana tunatakiwa kuomba toba kila wakati ili Mungu asiondoe ulinzi wake kwa sababu ya dhambi zetu, maana laiti ungeona watumishi wa Mungu waaminifu wanavyowindwa nakuhakikishia usingetamani hata kuifanya hiyo kazi maana wewe ndio unakuwa main target yao, Ndugu usikimbilie kuanza huduma au kanisa kabla hujapokea nguvu ya kutosha labda kama unawafanyia wao (wanangu wa keki ya upako mikono juu), ila Mungu ni mwaminifu anawatetea sana na ndio maana hata katika harakati za kumuangusha au kumuua lazima mnakuwa makini maana kufa ni kugusa Maana Mungu hana utani kwa watu wake potential, Maana kitendo hata cha kumtaja tu jina kilingeni (madhabahu ya kichawi) mnaweza kufa kama mende kwa huo moto utakaowalipukia kwa hiyo ni vita hasa na ni hatari pia kwa upande wa muwindaji.

Na ndio maana saa hizi wanamkakati mpya unaitwa mpango mpya wa Dunia New world order huu ni mkakati wa kuipanga Dunia upya tofauti ilivyopangwa na aliyeiumba ili iweze kubeba ushetani wa kutosha, kuwezesha itawalike na hawa monsters ila shida ndio hao wanenaji ni waharibifu sana wa hizi mambo halafu wao hawajui kama wanaharibu na ndio maana wanawachukia sana kule , yaani akisema nasambaratisha, kama yupo muhusika humu nafikiri atakuwa shahidi mzuri wa nini ambacho kinaendelea behind the scene ni kusaambaa haswa hakibaki kitu, maneno ya kinywa ni silaha hatari sana yakitumika kwa maarifa na imani kamilifu sema wengi wao hawajui na ni kwa sababu hawaoni kinachoendelea ule upande mwingine.

Inshort freemason ni pana na wengi wanaojaribu kuilezea wanajua vichache sana kuhusu hawa Monsters, lakini kwa jinsi ninavyowaelewa huwezi toa siri yao hata moja kama navyoona nyuzi za humu JF wakuache uendelee kula ugali hata kama una Mungu lazima watakusumbua mpaka ujute sema ambacho hawataweza ni kukuterminate kwa sababu ya nguvu inayokulinda, tofauti na hapo wewe ni supu yao ya asubuhi.

Lakini utashangaa kuna mtu eti anatoa uzi wa siri za freemason humu na anaandika muendelezo wa uzi wake kabisa, mi huwa nasoma nacheka tu maana hakuna siri yoyote wanatoa zaidi ya porojo nyingi, maana navyowajua wale wadau unatoa siri yao hujajipanga wanakupoteza.

Source: Elimu changa

#Zakuambiwachanganyanazako
Heshima kwako mkuu
 
Muonekano wake ni wa ajabu na wa kitofauti sana na dunia yetu, ukibahatika kupaona ndio utaelewa Dunia yetu kumbe inapendeza na ni nzuri inavutia hata kwa kutazama tu ukiachilia mbali kuishi, ukiona Nuru ya jua, mwezi, wanyama, viumbe hai, maporomoko ya maji,mimea hai, miti,milima ,mabonde vyote hivi kwa pamoja huonesha na kueleza upendo wa Mungu kwa wanadamu, na ukarimu wake kwa viumbe alivyoviumba kwa jinsi vinavyopendeza hata kwa kutazama ndio maana ya lile neno" Bwana Mungu akaona na tazama ni vyema sana " hii ni kumaanisha hata Mungu mwenyewe baada ya kuumba aliona nafsini mwake kweli nimeumba kitu kizuri, lakini kule hapakutengenezwa Mungu akiwa anafurahi

Ilikuwa ni baada ya vita kuu mbinguni Ndio mmoja wa wale wakuu wa mbele, Kerubi afunikaye , nyota ya asubuhi, mbeba Nuru/Light bearer (Lucifer) aliposhushwa,(kutupwa) kama umeme mpaka pande za mwisho za shimo, na jeshi lote lililokuwa upande wake na huko ndio kukawa makao yao mapya hakuna uumbaji wowote wakufurahisha huko, anga lake muda wote ni kama lina mawingu mazito meusi meusi, hakuna nuru kama vile ya jua ila mwanga upo sasa sijajua huwa unatoka wapi, mazingira yake ni kama utusi utusi, hakuna miti, hakuna uzuri kama wa duniani, pamoja na kuwa dunia imechoka, lakini ukilinganisha na kuzimu inavutia bado, lakini kingine cha kushangaza hakuna mchana wala usiku, na ndio maana ukiwa unaenda lazima uwe kama unashuka chini ya dunia, maana ni shimoni, na ukiwa unarudi duniani ni kama unapanda kutoka shimoni maana Dunia ipo juu na kuzimu ipo chini, sasa usiniulize kiaje, juu ya Dunia ni wapi na chini ni wapi, we elewa tu, maana ndio pako hivyo maana mi mwenyewe mpaka leo sijawahi kuelewa kwanini ipo hivyo na inawezekanaje, lakini ndio hivyo ukistaajabu ya kuzimu utayaona ya rohoni. Na kuna malango hapa duniani ambayo Ndio hutumika kuingia au kutokea, mf: matundu ya vyoo, makusanyiko ya maji mengi(bahari, ziwa), visima visivyokauka, mito mikubwa, makaburini, njia panda,kwa wale magwiji hata katikati ya chumba, chumba chochote pale katikati yake sasa ni njia hiyo ila ikumbukwe njia nyingine ni za magwiji tu ya kichawi, kurutu wa kawaida hawezi , mf hii ya katikati ya chumba. Halafu kuna zile njia maarufu kumbukeni lisemwalo lipo, pale bagamoyo road, kama unaenda... Au basi tu hata hivyo sio sehemu ya mada.

Wengi hawafahamu hata unaposema kuzimu unamaanisha nini, kwenye kiebrania, hutumia neno Sheol kueleza sehemu yenye giza zito lisilo penyeka kirahisi ambapo dead souls huenda, wagiriki wao walitumia neno abyss kumaanisha bottomless pit, yaani shimo kisilo na mwisho lenye giza, lakini kwa jina lake halisi kwa lugha ya wahenga wa kule, panafahamika kama Sheole Mapkzye (inasomwa hivyo hivyo usiweke uzungu wako), tafsiri yake ni mahala pa ufu, au sehemu ambayo vitu vimekufa au vinaendelea kufa, kwa hiyo unaposema kuzimu sehemu yoyote ile jua unaongelea mahali pa ufu, ninaposema ufu haimaanishi hakuna nafsi zinazoishi kule, maana kufa sio kupotea wala kulala, wala kupumzika (pumziko ni kwa watakatifu tu ila ukifa na midhambi yako hakuna kupumzika ndio unaanza maisha mengine ya kuogofya sana, hayaelezeki ndugu zangu acheni dhambi, acheni dhambi nawaambia kwa mara nyingine kule nafsi zinateswa katika viwango vya juu sana vya kuogofya 🥲, inasikitisha lakini tuendelee kwanza na usidanganywe eti ndugu zako watatoa sadaka kwenye misa uombewe utoke, huo ni utapeli, ogopa matapeli, ukiingia umeingia mageti yake yana minyororo mikubwa na walinzi wakali juu, usidanganywe huwa hatoki mtu kule, kwa kuombewa msamaha na watu wa duniani, matendo yako siku za uhai wako ndio yataamua), ni maisha kabisa mengine huku ukiwa umetengwa na Mwenyezi (Muumba wako) milele, maana kitendo cha kutengwa na Mungu aliye hai ndio kinaitwa kifo, ni kama vile umtenge samaki na maji, au mmea na ardhi, vivyo hivyo mwanadamu aliumbwa ili amtegemee na kumtumikia Muumba wake kama vile maji yalivyo mazingira ya asili ya samaki, akitoka njee ya hapo, hata ikitokea hajafa basi ataishi maisha magumu kupindukia, ndivyo ilivyo kwa mtu, mazingira yake ya asili ni Muumba wake (Mwenyezi) , ikitokea kwa namna yoyote ile akatengwa na mazingira yake ya asili huyo tunahesabu amekufa na kupotea, hata kama bado anatembea ni suala la muda tu atakauka, maana hata samaki ukimtoa majini hafi hapo hapo kuna ka muda katapita akijutupatupa baadae kwishnei,

Ingawa kuzimu siyo sehemu moja tu kubwa ukumbuke, imegawanyika mara tatu, nafikiri tukipata muda tutaendelea katika hizi sehemu kuu tatu ambazo kwa pamoja ndio zinaunda hicho unachokiita kuzimu, maana kuna watu wanafikiri ukishaingia kuzimu hapo hapo utamwona kanumba, sharo millionaire, Lucifer, majeshi ya mapepo, ndugu zako waliokufa, hapana sio hivyo imegawanyika mara tatu ndugu zangu, ipo sehemu ya waliohai ambayo ndio hao wanaoenda na kurudi, lakini ipo sehemu ambapo wafu wote wenye dhambi huenda huko huwa hatoki mtu, halafu ipo sehemu ambapo enzi ya Lucifer ndio imekaa (sijasema Lucifer amekaa nimesema enzi yake, maana yeye mwenyewe yupo kazini duniani) huko ndio kuna yale mapepo mabaya kabisa, na hayajawahi kufunguliwa huko tangu yatupwe na kama yale yakiachiliwa hata dk moja duniani, hatutaiita tena dunia, ila kipindi cha mwisho yatafunguliwa yote sijui itakuwaje kwa watakaokuwepo.

Naomba niishie hapa kwanza siku tukipata muda tutaziangalia kwa undani moja baada ya nyingine na majina yake na kazi zake zote ila hapo juu tu ni dondoo chache kuhusu kuzimu.
Tunashukuru kaka, na tunasubili kwa hamu hiyo mada...
 
Dah mwamba ulipotaja malango ya kuendea kuzimu na makaburini kunahusika ni kweli

Siku usik moja nililala usingizi kama kawaida,sasa mida ya usiku mnene nlianza kuota lakn sio kuota ni kama nlikuwa nashusika moja kwa moja lakin kwa ufahamu usiokuwa sawa,nlioona naanguka kutoka juu sana naelekea chini na maeneo yale kutoka juu nlikuwa nayajua a to z yaan hakukuwa na errors zozote.Eneo lenyew ni la shule ambayo nlisoma sekondar lakn lilipakana na makamburi.Basi vile nilikuwa nashuka (ilikuwa kama nimebebwa na mtu hivi Mgongoni lakn nlikuwa simuoni)spidi kali sana hadi upepo nilikuwa naufeel machoni na nyumba naziona na kuzitambua vzr kbs.Bwana nkajua tunaangua tunaenda kujibamiza laaahh vile tunakaribia makaburi yale tukalenga kaburi moja lakn badala yake likageuka duara jeusi tiii,na tukapenya katikat ya duara hilo.Muda wote huo tunadrop mi najiskia ok hata hofu sina na hata sijui ilikuwaje lkn sasa wakat tunaendelea kushuka( mle ndani tulikuwa tunshuka straight vilevile lakn ilikuwa ni kama tunapita kwenye pipe fulan).Nisiseme uongo tulufika mahali nkagundua mwendo ulipungua na mahali oale ni kama ilikuwa emptpy space ila giza lilikuwa la ajabu sana.Giza lili kuwa ni kama rangi nyeusi tii bile ilivo.Na hapo aisee nkahisi hali ambayo sjawahi kuhisi kwa kiwango kile.UPWEKE aisee ni upweke ambao hauelezeki yaan emptness,au void naifeel toka ndan ya moyo wangu..nilisikia sauti tofauti tofauti za watu wanalia,nlisika wanawake watoto na wanaume na wengine wanaita jina la Yesu.I was shocked nilitamka YESU WANGU NAOMBA NISAIDIE.Hapo ndio nkajihisi tumeanza kuascend kuja juu hata kabla hatujaibuka nkashtuka nmeloa jasho nahema ovyo ovyo.
The choosen one nisaidie ndg hapo ww unaonaje hili suala.Huwa natafakari sana sipati majibu ni nani alinichukua na kunitisha route ile
 
Uwe unakula na kunywa maji kabla ya kulala. Hayo ni mawenge ya kawaida ukilala na njaa.
 
Halafu wakulu kumbukeni vyama vya waabudu shetani sio freemason tu, vipo vyama kama 11, kama sijasahau ila kama viliongezwa au kupunguzwa hivi karibuni sifahamu ila kuna hiki cha hawa mafia waliovaa ngozi ya kidini ila ndani ni majitu ya kutisha na duniani huonekana kama wachamungu hatari lakini kumbe ndio devil worshipers wa viwango vya lami ,"Jesuits", jina lisikuchanganye ukadhani kuna uzima hapo maana hata nabii wa mchongo hawezi kufungua kanisa akaliita kuzimuni church hatapata watu atajiita kajina kazuri kakutia moyo na matumaini lakini hakuna kila kitu, mfano Arise and shine ministry, ila ni mfano tu ndugu zangu mtajijua mkichukulia serious ,mi nimesema mfano tu sasa wewe jiongeze mwenyewe lakini mimi nimetolea mfano "halisi " ili uelewe, ila tuachane na hayo kwanza, hata hivyo uzi unahusu freemason tu au "nasema uongo ndugu zangu" in the late voice .
Hawa ma chalartan wamejaa wengi mno nowadays. Kitu kingine kinacho watambulisha kuwa ni mbwa mwitu ni "Jiunganishe na madhabahu ya mtume au nabii" au mungu wa madhabahu so and so Amefanya.
Mkuu, upi utofauti kati ya hawa secrets society na Occultism?.
 
Back
Top Bottom