Kumbe Chit-Chat patamu

heee heee heeee,
nani eti madameb, mmmmh, umekuja vibaya,
hapo unagusa roho za watu wazito sana humu jf,
sijui kama vipi mimi kama mama yako nakushauri
utafute pengine.

Heeh kumbe humu single hawaruhusiwi? Ngoja nimtafute Madame B nipate mwongozo, thanks
 
Last edited by a moderator:
heee heee heeee,
nani eti madameb, mmmmh, umekuja vibaya,
hapo unagusa roho za watu wazito sana humu jf,
sijui kama vipi mimi kama mama yako nakushauri
utafute pengine.

Wee.. unadhani sijui kama madame B ni mtu mzito humu chit chat?? sikumaanisha nimchukue, nlimaanisha anipe utaratibu tu coz nilielekezwa kwake
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo Amyner haupo), BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo), The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia), Preta (Nilishinikizwa kumuona na PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa TANMO mara kwa KakaKiiza mara kwa mtu chake yan utulivu F) Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na Yummy , Dena Amsi ujue Ni wake za Mr Rocky
Mwisho nakutambulisha dada yangu Blaki Womani na sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu Paw (Mume wa King'asti ila inaniuma sana), Roulette (Miss you Madame), na Fang na Meezy

braza Erickb52 Grenade nampatia mdogo wangu Kabakabana.......kaa mbali na bibi zetu gfsonwin cacico Kongosho asali ya ODM lakini kwa sasa mmmmhhh naona imekuwa asali ya Erickb52 sitii neno ngoja babu aamke hao ndio wake halali wa Asprin babu wa jukwaa pendwa CC
 
Last edited by a moderator:
Grenade afadhali umewahi kusema we ni me, ungetongozwaje, nways karibu, pili ukitaka kukaa kwa usalama humu usijaribu hata kuwaza kumpm mama watoto wangu charminglady, kama wewe ni mgeni basi ujue kuna kitu kinaitwa ban, yan likizo isiyo na malipo.... byeeee enjoy uwepo wako hapa
 
Last edited by a moderator:
heee heee heeee,
nani eti madameb, mmmmh, umekuja vibaya,
hapo unagusa roho za watu wazito sana humu jf,
sijui kama vipi mimi kama mama yako nakushauri
utafute pengine.

Afu we X mkwe nakumaindi kitambo,
kila chimbo nitakalotimba unatia maguu,
Me niko Kazini nafanya mchongo afu unaniletea Mpwapwaso,
Nitakuzingua.

Afu nasikia unataka kurudiana na Arushaone.
Ole Mkwe.
 
Last edited by a moderator:
Wee.. unadhani sijui kama madame B ni mtu mzito humu chit chat?? sikumaanisha nimchukue, nlimaanisha anipe utaratibu tu coz nilielekezwa kwake

Hata hivyo haina mbaya.
Mtoto wa Mwenzio.....!
Hutaki kuendesha Range wewe?
 
halafu we mkwe kweli mbona naona tu kama
ukwe wenyewe umepitiliza,
mengine siyo machimbo ni vishimo tu
kama vya panya, lwako mi sipo.

kwa kweli Arushaone siwezi kumrudia
yaani anatoa talaka kwa kosa moja tu,
huyo chukua atapambana na akina rutta, Erickb52, Asprin mshindi tutamwonaga.

Afu we X mkwe nakumaindi kitambo,
kila chimbo nitakalotimba unatia maguu,
Me niko Kazini nafanya mchongo afu unaniletea Mpwapwaso,
Nitakuzingua.

Afu nasikia unataka kurudiana na Arushaone.
Ole Mkwe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom