Kumbe Chit-Chat patamu

Weraweraaa! Karibu chali'angu hapa ndo CHIT-CHAT, pengine fotokopi. Hapa maupendo tu, uki-bring zako za ku-bring tunakulostia (potezea). Hiki ni kistoni kama viston vingine na kiston hiki kina wanyapara wake.. kaa pale PakaJimmy akupe HADIDU REJEA.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana tena sana mkuu Grenade.
Kuna mchakato wa Kumtafuta Miss ChitChat wa mwezi November,
Kwani Miss October ambae ni mimi hapa Madame B namaliza muda wangu tar 31/10 saa 6 usiku.
Sasa kwa kuwa umeshakuja huku Chit Chat,
unampendekeza nani aingie kwenye Kinyang'anyiro hicho?
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana tena sana mkuu Grenade.
Kuna mchakato wa Kumtafuta Miss ChitChat wa mwezi November,
Kwani Miss October ambae ni mimi hapa Madame B namaliza muda wangu tar 31/10 saa 6 usiku.
Sasa kwa kuwa umeshakuja huku Chit Chat,
unampendekeza nani aingie kwenye Kinyang'anyiro hicho?
Karibu.

nasikia we ndio mmoja wa wale waliorusha makonde UWT dodoma...umekaa kiuchaguzi chaguzi tu!!
 
Last edited by a moderator:
Habarin, kiukweli nmevutiwa na hili jukwaa lenu so sio mbaya tukiwa pamoja.. Arushaone Baba V Madame B Erickb52 Mamndenyi St. Paka Mweusi, mkiva charminglady C6 zubedayo_mchuzi Ciello FP Filipo , Na wengine wote jukwaani hodi. mimi ni "me". pamoja
Karibu sana Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo Amyner haupo), BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo), The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia), Preta (Nilishinikizwa kumuona na PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa TANMO mara kwa KakaKiiza mara kwa mtu chake yan utulivu F) Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na Yummy , Dena Amsi ujue Ni wake za Mr Rocky
Mwisho nakutambulisha dada yangu Blaki Womani na sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu Paw (Mume wa King'asti ila inaniuma sana), Roulette (Miss you Madame), na Fang na Meezy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom