Kumbe bila Naibu spika Zungu "miradi" ingekuwa imekwama leo hii? Tuna watawala wenye roho mbaya sana na wabinafsi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya watu wenye roho mbaya sana wanaotawala wenzao na tabasamu la kinafiki huku wakiwaangamiza kisaikolojia na ki phyically

Miezi kadhaa huko nyuma Zungu wa ilala kama masihara alisema iwekwe tozo ya uzalendo kwenye lines za simu, ilichukuliwa kama a big joke

Angalia tulipofika sasa ni DHAHAMA KUBWA SANA ni mateso makubwa sana na watoa mateso wana enjoy kweli na vicheko juu yake na kebehi za kutosha kama vile "hamieni burundi" why Burundi, why not zanzibar wasiojua mateso ya ajabu ajabu yanayotokea Tanganyika, hivi huko zanzibar kuna tozo kweli?

Tuliamlaumu sana Jpm kuipendelea chato lakini hii ya kuipendelea zanzibar kwa kuwaadhibu watanganyika na mateso makali ya bei kupanda na ma tozo yasiyo na kichwa wala miguu ni ukatili wa hali ya juu sana

Leo ukilalamika utasikia LAZIMA WATU WAUMIE ILI MAENDELEO YAJE, HIZI TOZO ZINAJENGA MADARASA, haijuilikani ni tozo au hela za covid zinazojenga madarasa

INA MAANA BILA ILE IDEA YA ZUNGU LEO KUSINGEKUWA NA HELA ZA KUJENGA HAYO MADARASA?HIVI KWELI NCHI INA MIRASILIMALI YOTE MME OPT KUUMIZA WATU KIASI HIKI MKIPEWA NCHI KAVU NA KAME KAMA CHAD AU MAURITANIA MTAWALE SI MTACHANGANYIKIWA KABISA?

HAPO KILA MWAKA MNANUNUA MAGARI YA KIFAHARI KWA BILLIONS 600 BADO KUNA NDEGE TANO ZINAKUJA ZIMENUNULIWA CASH UKIJUMLISHA HUKOSI TRIILIONS 2 HAPO

MNGEKUWA KWELI NYIE MNA UBINADAMU NA NIA THABITI MNGEBANA HAYO MATUMIZI NA KUSITISHA UNUNUZI MA VX KWA MIAKA 5 NA KUSITISHA KUNUNUA NDEGE CASH

Sema sababu mnatawala wajinga na wapuuzi mnajiachia mtakavyo hata reports za CAG zimekuwa kama circus zinatolewa kila mwaka watu wanacheka yanaisha MAPESA YANAIBIWA BADO TENA MNAIBA ZA WATU KWENYE ACCOUNTS ZAO

MNA ROHO MBAYA SANA SANA TU
 
Hil ndio linatakiwa ili mpate akili ya kutoka mashimoni na kupambania haki na mabadiliko kwa vitendo. Hamna mtu wa kuwapigania jamani.

Maamuzi yako mikononi mwenu wabongo. Simameni kwa umoja kupinga udhalimu. Hamna zaidi ya maandamano ya haki sasa endeleeni kulia nyuma ya Keyboars hadi mtakapokufa na njaa.
 
Sifa za uzeeni mbaya sana unaweza kufa kwa mikosi
hawa jamaa wana raha sana kutawala mang'ombe ,yaani wanatawala vibudu kweli, hivi vx lazima zinunuliwe kila mwaka haziwezi nunuliwa kila bada aya miaka 5? why kununua ndege cash THEN MNAENDA KUIBA HELA ZA WATU KWENYE ACCOUNTS?
 
as long as zanzibar kule maisha ni nafuu ya huku tanganyika hayamuhusu anaumiza sana aisee
Hujui hata yanayoendelea halafu unajisemea tu! Hivi hata hili la tozo hujui kwamba ni la Tanzania nzima? Vyovyote iwavyo, mama ataendelea kuwa Rais anayetokea Zanzibar tena kwa mujibu wa katiba kama ambavyo Wadanganyika wamekuwa marais kwa mujibu wa katiba. Bila Zanzibar hakungekuwa na Tabzania.
 
Hujui hata yanayoendelea halafu unajisemea tu! Hivi hata hili la tozo hujui kwamba ni la Tanzania nzima? Vyovyote iwavyo, mama ataendelea kuwa Rais anayetokea Zanzibar tena kwa mujibu wa katiba kama ambavyo Wadanganyika wamekuwa marais kwa mujibu wa katiba. Bila Zanzibar hakungekuwa na Tabzania.
we mpuuzi wewe unajua ni mangapi yanayotikisa maisha ya wadanganyika zanzibar hayatokei? tuanzie bei ya sukari, gesi, petrol hata umeme na maji?hopless
 
Wamekaribia kufa kutokana na maombi ya wadau

Tatizo elimu vijijini haifiki
sidhani wanatukebehi kabisa , nafikiri hadi mwezi ujao asilimia 70 watakuwa wamrtoa pesa zao zote benki ni hatari sana, labada zibaki za kupitishia vi mshahara ambazo nazo zinaibiwa wakanunue mandege na ma vx kwa cash
 
Back
Top Bottom