Kulinganisha kazi ya boda boda na kazi ya ualimu ni udhalilishaji tu kwa waalimu.

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,481
Watu wengi wana weka ma dereva boda boda na waalimu katika tabaka moja waalimu wana tumikia ummah uko vijijini na mjini, sijui hi dharau ni kwasbb ya kipato chao au matukio wanao tenda wakiwa kazini, au kwasbb wengi kupokea na kuridhika na umasikini au kutokua na dira ya maendeleo, ndo sababu ya ku dharauliwa, ku kopakopa kwa waalimu sio tabia ila ina sababishwa na hali zao za maisha kua ngumu na kutoweza kupata pesa ya mkupuo.

Mimi na kataa bodaboda sio kazi ni laana hamna mzazi anae aanda mwanae awe bodaboda badaye wengi boda boda wamekata tamaa hawana la kupoteza iko tayari kufa kwa pesa kidogo, huwezi kulinganisha professional ya waalimu kwa dereva bado bado jamani waalimu wanastahili heshima katika jamii zetu.
Screenshot_20230916-110441_Facebook.jpg
 
Hao ni vijana wa ChaDema na viongozi wao ndio wenye tabia ya kuwatusi Walimu wakidhani ndio wanasababisha wao kushindwa kwenye chaguzi.
 
Ha ha ha ....
hiyo picha imenichekesha Sana
Huyo boda Sijui alkua anawaza ninix
 
Back
Top Bottom