Kulikoni "ukimya" wa mheshimiwa sana!

Mh.huwa sio kawaida yake kupotea kwenye media kiasi hiki.Kama sikose, inakatika wiki sasa hajasikika kabisa ingawa huenda labda mimi ndio sijamsikia...
Alishasema msimjaribu na nyinyi mkafikiria anatania. Sasa acheni kuanza kuweweseka. Kaeni mkao wa kula.
 
Hana jipya ndio maana.
Fyatua mtoto wewe acheni maneno maneno. Nyie mliziba midomo kwa plaster, mnafikiri na yeye kafanya hivyo? Hajaribiwi, kilichobaki ni action tu siku ya 1 Sep ikifika; maneno sasa basi ni kipigo tu. Watu waoga ndiyo huendelea kubwabwaja maneno mengi siku ya kutinga kwenye ring inapokaribia. Mara oh nitamtoa knock out kwenye round ya kwanza. Mara oh jamani nishikeni mkono la sivyo nitammaliza. Siku ikifika inakuwa oh leo nina malaria tuahirishe siku nyingine nitakapopona nk nk

Tukubali tu kwamba hiyo operesheni ukuta tulifanya makosa, tuifute na mambo yaendelee kama kawaida. Tumetikisa kiberiti na kukuta kuwa kumbe awamu hii ni kiberiti cha gesi hakitikiswi.

Tufuate kanuni, taratibu na sheria za nchi (mahakamani) kudai haki zetu pale tunapohisi zinaporwa. Maandamano ya kuhamasisha wananchi wamchukie rais wao ni uvunjifu wa sheria na ni kutishia amani ya nchi. Tufanye siasa za ustaarabu, siasa za uanaharakati tuwaachie watu wa Misiri, Syria na Libya.

Siasa za kistaarabu ni kufurahia mpinzani wako unapomwona analiboronga. Tena unamwombea azidi kuboronga ili kipindi cha uchaguzi mkuu kinachofuata wananchi wawe walishamchoka ili wakuchague wewe. Sasa unapomkomalia sasa hivi kuwa ajirekebishe si itakula kwako kipindi cha uchaguzi kitakapofika. Muwe mnatumia akili.
 
Mh.huwa sio kawaida yake kupotea kwenye media kiasi hiki.Kama sikose, inakatika wiki sasa hajasikika kabisa ingawa huenda labda mimi ndio sijamsikia.Kama kuna mlio msikia,basi mtujuze na wengine ila nikiri wazi na nitoe angalizo kuwa jana sikuangalia taarifa ya habari maana huenda alisikika.

Maswali:

1.Tatizo ni kuelekea September mosi?
2.Kapewa ushauri akae kimya kwa muda?
3.Majukumu yamembana?
4.Kabadili sytle?
5.Kasoma alama za nyakati?
6.Kaamua kutumia wasaidi wake?
7.Tusubiri kishindo?
8.Lawama zimekuwa nyingi?
9.Matatizo ya kibinadamu?
10.Ni hali ya kawaida tu?

Je,wenzangu, mnafikiri tatizo ni nini hasa?
Hivi wewe huwa una nini? Kumchokoza Na akijitokeza unaanza kumnanga. Nenda play store ya Simu yako ya android tafuta Magufuli Leo utapata mambo yake
 
MWANAUME AKISHA SEMA HARUHUSIWI KUENDELEA KUIONGEA AMRI NI MOJA TU HAKUNA UKUTA..
UNAITAJI NINI TENA ANAEYE FIKIRI UTANI AANDAMANE NDIO MTAMTAMBUWA KUWA HANA MASIHARA
Umetoka usngzin... Soma hints kwanza. Ukuta umefuata nn??
 
Ikulu siyo sehemu ya kawaida... Wengine huku familia za mke na watoto wawili tu zinatushinda itakuja kua Ikulu????
 
MWANAUME AKISHA SEMA HARUHUSIWI KUENDELEA KUIONGEA AMRI NI MOJA TU HAKUNA UKUTA..
UNAITAJI NINI TENA ANAEYE FIKIRI UTANI AANDAMANE NDIO MTAMTAMBUWA KUWA HANA MASIHARA
Mkuu wanalijua sana hilo, wametumwa kutafuta maneno
 
Back
Top Bottom