Kulikoni "ukimya" wa mheshimiwa sana!

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Mh.huwa sio kawaida yake kupotea kwenye media kiasi hiki.Kama sikose, inakatika wiki sasa hajasikika kabisa ingawa huenda labda mimi ndio sijamsikia.Kama kuna mlio msikia,basi mtujuze na wengine ila nikiri wazi na nitoe angalizo kuwa jana sikuangalia taarifa ya habari maana huenda alisikika.

Maswali:

1.Tatizo ni kuelekea September mosi?
2.Kapewa ushauri akae kimya kwa muda?
3.Majukumu yamembana?
4.Kabadili sytle?
5.Kasoma alama za nyakati?
6.Kaamua kutumia wasaidi wake?
7.Tusubiri kishindo?
8.Lawama zimekuwa nyingi?
9.Matatizo ya kibinadamu?
10.Ni hali ya kawaida tu?

Je,wenzangu, mnafikiri tatizo ni nini hasa?
 
MWANAUME AKISHA SEMA HARUHUSIWI KUENDELEA KUIONGEA AMRI NI MOJA TU HAKUNA UKUTA..
UNAITAJI NINI TENA ANAEYE FIKIRI UTANI AANDAMANE NDIO MTAMTAMBUWA KUWA HANA MASIHARA
 
Kila akiongea anakuja wazir wake anasema mkuu alikuwa anatania! Alianza Wazir wa madini, kaja ummy wa afya jana kaja simbachawene! Sasa amekaa huko anajifikiria hivi kwa nini kila nikiongea naonekana natania wakati nshasema sijaribiwi! Nalo hilo neno mpaka sasa lishatia hasara maana upande wa pili wanataka kuandamana! Achilia mbali gharama za sukari tunavyolipa bei ya juu kuliko zamani! Kisa alitamka yeye.
 
Kila akiamka na kuongea anachochea hasira!! Wamemwambia atulie watu wasije wakaandamana kabla ya sept 1
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom