Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Nimekuwa nikienda kwenye meza za magazeti hapa UDSM kila mara naambiwa tz daima limeisha,yaani kila siku nalikosa!
Mie nilidhani ni kwamba linapendwa sana,ila leo nimeenda sehemu fulani pia sikupata,nikaamua kuuliza kulikoni nikaambiwa "sijui pia,me nikienda kuchukua napewa copy 10 tu",.....kwa nini wanachapa magazeti machache kiasi hicho?
Au ndo kufilisika?