Kulikoni Kepteni Komba ?

After effects za obesity na kuserebuka sana

Anna_Lupembe.jpg


wabunge.jpg
 
Hiyo ni uzembe wake tu. Anaendekeza ulaji wa chakula kupita kiasi na kulala sana
 
jamani huyo si alikuwaga soja? Inakuwaje soja anajiachia mwili hivyo? Jaman tuzingatie mazoezi japo mara mbili kwa wk, sasa unakuta mtu katembea sana kwa miguu ni mita kumi mda wote kwenye gari akitoka hapo ni kwenye sofa lzm miguu ielemewe na mzigo kwa nini hawaigi mfano kwa mzee Ruksa?
 
kapteni kapteni lakini hazingatii mazoezi
pole yake hata sauti ishaanza kupotea nani
atatuimbia tena nyimbo za fasta fasta wanapotutoka viongozi wajameni.
 
Back
Top Bottom