Kula samaki: Ushauri

Kaizer

Platinum Member
Sep 16, 2008
25,320
17,823
Wapwa na mabinamu

of recent nimehamia pemba ambako samaki ni chakula chao cha kila siku

ila mi kutoka bara naona maisha yatakuwa magumu kama nisipojua mila na desturi za kumla samaki

naombeni ushauri njia ipi bora ya kumla samaki hasa katika mazingira hayo?

natanguliza shukrani!:rolleyez:
 
samaki huyu huyu ambaye hata nyumba ya Mungu wanamvua au??
 
Duh samaki gani huyu mwenye kuliwa kwa mila na desturi mkuu? wa baharini au hawa wa nchi kavu? hahahaha
 
Wapwa na mabinamu

of recent nimehamia pemba ambako samaki ni chakula chao cha kila siku

ila mi kutoka bara naona maisha yatakuwa magumu kama nisipojua mila na desturi za kumla samaki

naombeni ushauri njia ipi bora ya kumla samaki hasa katika mazingira hayo?

natanguliza shukrani!:rolleyez:

Eh... Umeshatoka Tandahimba??

Weka Samaki kwenye blender, saga na mifupa yake kisha kunywa kama uji...
 
huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako
 
Duh samaki gani huyu mwenye kuliwa kwa mila na desturi mkuu? wa baharini au hawa wa nchi kavu? hahahaha

huko nilikoenda ndo nimeyakuta haya

hivi hakuna aliyewahi kufika huko anishauri?
 
Eh... Umeshatoka Tandahimba??

Weka Samaki kwenye blender, saga na mifupa yake kisha kunywa kama uji...

nimeshatoka kule.....mmmh.....ngoja kwanza samaki asagwe kwen blenda? mbado kuona
 
huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako

hebu nipe japo mfano wa picha FL1...
 
hebu nipe japo mfano wa picha FL1...

Huyu hapa Kaizer ama kuna mwingine zaidi ya huyu ambaye simfahamu
whole-roasted-fish-m.jpg
 
FL1 unatutamanisha na huyo samaki

Mi ninavyojua mila za huko, samaki analiwa upande mmoja, ukifika kwenye mwiba wa kati huutoi ila unamgeuza na kuanza kula upande wa pili.
 
ushauri:
msimamishe kwenye sahani kisha uanze kula chini kwenda juu ukianza na upande mmoja kisha ukimalizia na upende wa pili, mboga za majani hurti ziwepo pembeni na pili pili kidogo eidha pili pilimbuzi ama pilipili manga inafaa mradi upate kale ka muwasho.! usisahau kunawa mikono kabla hujaanza kula, pengine unaweza kuona akiangukia ubavu au chali chali we endelea kumla hivyo hivyo mpaka uhakikishe hamu/shibe yako imefika mahali pake.
 
kaizer samaki wa pemba nasikia raha yake kwanza ukianza kumla umle taratibu....wenyewe wanasema ndo utamu unapoupata

ukifika mwisho wa kumla, yaani mifupa mifupa na kichwa ndo unakula kwa kasi

sijui umenipata hapo?
 
ushauri:
msimamishe kwenye sahani kisha uanze kula chini kwenda juu ukianza na upande mmoja kisha ukimalizia na upende wa pili, mboga za majani hurti ziwepo pembeni na pili pili kidogo eidha pili pilimbuzi ama pilipili manga inafaa mradi upate kale ka muwasho.! usisahau kunawa mikono kabla hujaanza kula, pengine unaweza kuona akiangukia ubavu au chali chali we endelea kumla hivyo hivyo mpaka uhakikishe hamu/shibe yako imefika mahali pake.

hapa hata mimi nitapata elimu...ukimsimamisha, unatanguliza kichwa chini mkia juu, au mkia chini kichwa juu?
 
huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako

Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.

Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!
 
FL1 unatutamanisha na huyo samaki

Mi ninavyojua mila za huko, samaki analiwa upande mmoja, ukifika kwenye mwiba wa kati huutoi ila unamgeuza na kuanza kula upande wa pili.

Mnene sasa kama nina hamu nione na magamba ya upande wa pili je?
 
Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.

Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!

kwa nini Dina..mi nimetoka bara ndo maana.....nilikuwa namgeuza tu ndo nimestuka...
 
Back
Top Bottom