Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
kuna makabila mengine ukiwanyima chakula kwao ni fedheha! haha!Msimseme, msishangae kama anapenda kula. Wa kijiji atangazia manyang'au tabia za unaekula nae, unataka wakuombe nao wale nae?
kuna makabila mengine ukiwanyima chakula kwao ni fedheha! haha!Msimseme, msishangae kama anapenda kula. Wa kijiji atangazia manyang'au tabia za unaekula nae, unataka wakuombe nao wale nae?
unajua nadhani inaendana na mila na desturi za mahali; sisi huku kijijini kwetu.. watu wanapenda kula na kuendelea kula kwani wanasema chakula hakichafui! Maana wanaamini ukishakula lazima usubiri kiteremke kwanza. Sasa mtu hata hakijashuka mtu anatimka kutoka kuwahi kuosha vyombo.. Inasadikiwa kuwa kule kwa mababu na mabibi hawakuwa wanaelewa kuwa chakula hakichafui kwani hata kama ni kuku na mafuta yake, mafuta yakibakia kwenye sahani bado ni mafuta ya kuku.. jambo la maana unatakiwa usiache vikaukie hapo.
Ah mwanakijiji kwa staili hiyo basi inategemea mahali na mahali. Kwingine siye tangu enzi za mababu kula na kuosha ilikuwa ni muhimu. Haya naomba nisilazimishie msisitizo kwani inategemea jamii na jamii.
maanake siku moja mwenzenu nusura nimng'ang'anie mama wawili asikimbie kwenda kuosha vyombo!!!
kazi kweli kweli, wakubwa wanaraha saha!
unajua nadhani inaendana na mila na desturi za mahali; sisi huku kijijini kwetu.. watu wanapenda kula na kuendelea kula kwani wanasema chakula hakichafui! Maana wanaamini ukishakula lazima usubiri kiteremke kwanza. Sasa mtu hata hakijashuka mtu anatimka kutoka kuwahi kuosha vyombo.. Inasadikiwa kuwa kule kwa mababu na mabibi hawakuwa wanaelewa kuwa chakula hakichafui kwani hata kama ni kuku na mafuta yake, mafuta yakibakia kwenye sahani bado ni mafuta ya kuku.. jambo la maana unatakiwa usiache vikaukie hapo.
..... Sasa mtu hata hakijashuka mtu anatimka kutoka kuwahi kuosha vyombo.. ......
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Mi naomba kuuliza wajameni,
kama chakula ni kitu cha muhimu, inakuwaje tena immeediately baada ya kula tu kionekane kichafu na kimechafua sahani na kijiko?
Mi hata sijawahi kusikia kama chakula ni uchafu....
Sasa kwa nini, kama sijashiba especially, nikaoshe sahani na kijiko, wakati kama ni makande kwa sisi wapare ungeongezea tu pale pale kwenye sahani hadi nishibe?
hebu nambieni hapo au bado sijaelewa?
Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula anakimbia jikoni kwenda kuosha vyombo wakati mwingine bado ana njaa?
Kwa maji ya bongo? haya haya ya dawasco au ya vijana wanaouza kwenye madumu?! dada uta-distabilize system ya check and balance ya wale wadudu wadogowadogo waishio kwenye bakuli.Hapa mie siwezikuelezea zaidi unless ujaribu!! Hebu fanya experiment kaka, kula mlo wa pili bila kuosha sahani kisha wa tatu ioshe - yaani inakuwa kama unatumia sahani ilotoka dukani!! Jaribu (Ila mwoshaji ajue kuosha si kupitisha tu maji juu juu) Sometimes asugue na kidole kwa ndani)
Kwa maji ya bongo? haya haya ya dawasco au ya vijana wanaouza kwenye madumu?! dada uta-distabilize system ya check and balance ya wale wadudu wadogowadogo waishio kwenye bakuli.
Hapa mie siwezikuelezea zaidi unless ujaribu!! Hebu fanya experiment kaka, kula mlo wa pili bila kuosha sahani kisha wa tatu ioshe - yaani inakuwa kama unatumia sahani ilotoka dukani!! Jaribu (Ila mwoshaji ajue kuosha si kupitisha tu maji juu juu) Sometimes asugue na kidole kwa ndani)
mimi sasa kwa kweli nadhani itabidi tuweke application form halafu tunaweka zile multiple choice.. "unaosha vyombo kabla na baada ya kila mlo".. check
"Unaosha vyombo vyako tu au hata vya mlaji mwenzako"
"Je unaweza kula milo miwili ya papo kwa papo bila kwenda kuosha vyombo?"
"Je mlaji mwenzio akitaka kula kabla hujaosha vyombo utapakua?"
Majibu ya maswali kama hayo yatasaidia kuondoa any "misunderstanding"..