Kula mbakshie baba

koh!koh!koh!koh....I need B kubwa....

B kubwa mpaka uende namanga shostito, chukua cofta kwa OPP

labda nicheze na
wewe.......

HAHAAAA!! huu hata wengi wengi tunacheza tu hauna shida, si ndio OPP??

Balantanda na OPP you are crazy actual OPP hujakose amimi kwenye mchezo wa baba na mama nilikuwa nakuwa mama kila wakati na baba alikwua kaka mmoj ahivi anaitwa Steven sijui yule kaka yupo wapi!....alikuwa kichuna eeh!....

Ngoja nifumbe macho ni-imagine BM na Steve hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
mimi nilikuwa nacheza bwana harusi kila siku...
bibi harusi nilikuwa nabadilisha.......
 
Nimekuwa sasa hivi sichezi tena mchezo wa baba na mama!.....siku hizi nacheza grown ups games!

umenikumbusha dada mmoja alisema yeye hananiliii bali she does the real thing........(......) hahahaaaa!!!!
 
bht kweli inabidi niwahi kofta za opp zilizo karibu ila itabidi niangalie expiration date maana zisije ni cost zaidi!....
 
umenikumbusha dada mmoja alisema yeye hananiliii bali she does the real thing........(......) hahahaaaa!!!!

hahaha see me and that lady we think alike!.....we dont do baba na mama.....the real thing si so delicious....

Steve ni jina langu la utotoni...
Huyu Binti Maringo ana kumbukumbu nzuri sana...

haha-ha-ha kumbe umelikumbuka duuh!..unakumbuka last time wewe kuwa baba na mimi kuwa mama?....yooooh wee acha tuu!.....what happened into that cave stays into that cave innit darling?!...
 
hahaha see me and that lady we think alike!.....we dont do baba na mama.....the real thing si so delicious....

haha-ha-ha kumbe umelikumbuka duuh!..unakumbuka last time wewe kuwa baba na mimi kuwa mama?....yooooh wee acha tuu!.....what happened into that cave stays into that cave innit darling?!...

ofcoz ze real thing ndo yenyewe bana!!
haya bwana yabaki kuwa yenu!!!!!!!!!!!!!!
 
mi naomba mchezo huu nicheze na jeni, nitamdunda mpaka pearl aje kumuombea msamaha.
Zamani tulikuwa tukicheza tobo dunda, mnacheza mpira wa miguu ukimpiga mwenzako tobo basi mnamdunda hadi akashike mti.
Kuna siku tulikadunda ka bwamdogo kamoja kumbe kana sikoseli, kakazimia, kakauugua mwezi mzima hakakuja shule,
huo ndio ukawa mwisho wa mchezo wa tobo dunda pale shuleni kwetu Nzovwe shule ya msingi kalobe.
 
aaaah bubuji umenikumbusha nilikuwa nimepingana my brother's friend aisee alikuwa ananidunda kila siku!.....siku moja alikuwa nyuma yangu ameshika mshikio wa ndoo ya chuma...wee alinitoa meno ya mbele...alikuwa ananionea sana tuu yule mkaka jamani..mara ananiambia njoo nikufundishe baiskeli ananiweka kwenye kilima alafu ananisukuma kwa nguvu nilikuwa na makovu sanaa and my brother was in boy scout...naye anakuja a kamba anafunga from one end to another ananiambia hata vuka..na mimi naanza kuvuka like a snake...nafika katikati na lose balance boooom chini!.....duuh ku-hang na wanaume ni kazi sana as a woman nilipata kasheshe sana naumia kesho yake nawafuata tena wala sikomi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom