Davie S.M
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 748
- 228
Katika Pita pita zangu Mitandaoni nikakutana na Tangazo hilI La Obama atakuwa na anAfAnyiwA Fund Rising sijuI nDio Harambee leo Usiku (saa za Huku)Katika Club ya 40/40,NY
Club hii inamilikiwa (Partner) na Bwana Sean Carter (JayZ) na Ambaye atahoSt Shughuli Nzima ni Beyonce.
Cha Zaidi JaYZ tayAri ameshamlipia Mr.President pamoja na convo ya 40 people.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums