Kukuwa kwa uchumi wa tanzani 7% mwaka huu

imonya

New Member
Jun 24, 2011
1
0
:bange: Allow guys, kwanza kabisa napenda kushukuru kuvumbua ukurasa huu kwa kweli umenivutia saana. lninajmbo ambalo sielewi. Uchumi USA unakuwa kwa mwaka kama asilimia 2 hivi lakini wananchi almost wote wanafill kwa maana huduma za kijamii zinaboreka, sasa kwetu hapa tumeambiwa mwaka huu uchumi wetu umekuwa asilia saba lakini sioni mabadiliko yeyote? hii ni ktu gani jamani ? nin maana ya aslimia 7
 
kaka utaumiza kichwa nchii hii isha kufa zamani. Tembea kwa mwendo wa pesa nchi ishauzwa hii. Imekuwa 7% mifukoni mwao hujui au hukuzaliwa bongo?
 
ndg yangu hii nchi imewashinda wanakaa na kusema uchumi umekuwa mbona bado hali za wannchi ni tete tena hata kujikimu miongni mwa wadanganyika ni hafifu sana sasa nashangaa tukiambiwa uchumi umekuwa ni bora waseme uchumi umeendelea!
 
ndiyo maana 'gamba' moja likashangaa kuwa kwa nchi ambayo rate ya ukuaji uchumi unafikia 7% basi ina uwezo wa kujenga bandari zote, reli kwa muda mfupi. Lakini inashangaza hata posho (acha mishahara) ya wafanyakazi wake ni za misaada kutoka nje!
 
:bange: Allow guys, kwanza kabisa napenda kushukuru kuvumbua ukurasa huu kwa kweli umenivutia saana. lninajmbo ambalo sielewi. Uchumi USA unakuwa kwa mwaka kama asilimia 2 hivi lakini wananchi almost wote wanafill kwa maana huduma za kijamii zinaboreka, sasa kwetu hapa tumeambiwa mwaka huu uchumi wetu umekuwa asilia saba lakini sioni mabadiliko yeyote? hii ni ktu gani jamani ? nin maana ya aslimia 7

Kuna uchumi wa aina mbili-macro economy au uchumi mkubwa na micro economy, yaani uchumi mdogo. Ule mkubwa unahusisha zaidi masuala makubwa makubwa ambayo watu wa juu wanayatumia kama alama (indcators) za kuonyesha kukua kwa uchumi - kama vile inflation, value of the local currency, GDP nk. Ule uchumi mdogo kwa kiasi kikubwa ni kielelezo kinachotokana na maisha ya watu wa kawaida. Kinachotakiwa, gains from the macro econonmy should trickle down to the micro level in order for the economic growth to have meangful impact on people's lives.... samahani, nimweka kiinglish kwa kuonyesha msisitizo,
 
Back
Top Bottom