Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
Mleta mada unatumia kilevi gani?
castlelite
Mleta mada unatumia kilevi gani?
Ama kweli wewe ni mkali.Kukumbushia muhimu
1. Kunaondoa stress
2. Kunasaidia kubadili mboga bila madhara makubwa
3. Kama ndiye uliyempenda kikweli inakupa kuonja bila gharama.
4. Hutumii nguvu kupanga mashambulizi.
Naona umesahau methali isemayo ' mahawara hawaachani'
Wapo sana. . .haswa wake za watu. . .
....dahh, umenikata stimu zote MwanajamiiOne....hukuwa 'malaya' bana, you were only a victim of circumstances...
Arrgh, ushaichakachua thread...utamu wote kwisha. Am out...
Full gospel, atakaye kukumbushia na aende mwenyewe!
Hapana Soulmate, mie nimequote description ya Smiles alosema kukumbushia ni umalaya. Simaanishi kuwa mie ndo nimesema plz hun come back utuelimishe zaidi!
Pengine tujiulize kwanza na kujiwrka sawa .... Kukumbushia inaanzia wapi?
1. Je ni mpaka muachane rasmi kwa kupeana talaka iwe ya mdomo au maandishi/ muachane rasmi kwa kutaarifiana.... Kisha mtu anakuja kukuomba kukumbushia ?
2. Au is lazima - maana kuna mwingine mnawezakuwa hamjarasmisha kuachana but matendo na vimbwanga ushaonyeshwa na akina tomaso sie mpaka tuonyeshwe wazi kuwa hatutakiwi, sasa katika kile kipimdi ambacho bado hujadhihirishiwa kuwa hutakiwi, akija (kwake yeye anakumbushia wakati wewe unafikiria kurutubisha penzi linaloashiria kufa!) Je hii inakuwaje?
Mbona jazba Mama, Jana ulikumbushia nini na uka tachiwa na comment yangu...Amempotosha nani? Kupenda kujua jambo nako ni kupotosha?
Na yeye anakumbushia lakini
Ngoma droo
ogopa sana watu wenye misemo kama hiyo.hivi jani likishadondoka huwa linarudi tena mtini?
Usiri upo baina ya wawili walioshibana AMINI HIVYO!!
Kukumbushia muhimu
1. Kunaondoa stress
2. Kunasaidia kubadili mboga bila madhara makubwa
3. Kama ndiye uliyempenda kikweli inakupa kuonja bila gharama.
4. Hutumii nguvu kupanga mashambulizi.
Naona umesahau methali isemayo ' mahawara hawaachani'