Kukatwa kwa baadhi ya wagombea Urais, Rais Kikwete kunawa mikono!

Kweli tulipata bahati mbaya sana kuwa na rais wa hivi ..Rais anayeogopa kuamini anachokisimamia, anyway Ukawa ipo tayari.
 
Sijui niuiteje,
Kwani idadi ya Marahisi wao nayo imeongezeka?
Wanashindwa nini kupata tano bora kutoka 40s?
Wanashindwa nini kupata tatu bora kuliko?
Wanashindwa nini kupata moja bora kuliko tatu?
Well, labda wamepanua wigo wa screening! Kwamba vyombo vyakuchuja vimeongezeka hivyo hatua zimeongezeka, vinginevyo ni woga wa kijinga!
Anyhown let them do whatever they want, we go na see the end!

 
CCM wana mtaji wa kuanzia. Nao ni huu!!!!! Wale wote waliofanya mikutano ya kampeni hadharani ya kukusanya wadhamini wakatwe mara moja. Tumeona wakijinadi huku kwani CCM wameshaanza kampeni? Hawahitaji nguvu sanaaa. Hii yenyewe inatosha kupunguza utitiri

Nawshukuru kwa kusikiliza ushauri wangu! Inauma sana utumie hela nyingi kiasi kile ukatwe na kalamu ya mia 2.
 
Wamefanya jambo baya sana ambalo haliwezi kusameheka ,lazima wasitishwe kwa kuwekwa kando,hawajui haki ni kitu gani !:bange:
 
Back
Top Bottom