Kukata kiuno

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Kuna raha ya kuangalia mpira lakini mchezaji anayepiga chenga, anayepiga kanzu na mwenye mashuti makali kuna raha yake zaidi kumuangalia!!!! sasa ishu ya kitandani pia kuna manjonjo yake ni je ni lazima mwanamke akate kiuno au wote wawili, raha ikoje na karaha kwa wasiokata viuno????
 
Mhhhhhhh!!! Tuanze na wewe uzoefu wako unaoneshaje? Ukianza na wengine wataunga treni!
 
utamu wa ngoma ipigwe kwa mrindimo unaochezeka,shurt uweke ngoma kati uipe mapigo,manju anaposikia mlio ndo anajua ngoma imeitika!
 
kwa maelezo zaidi tumia ulimi wako na mdomo,fanya kama unaroll hivi taratibu sikilizia kwa makini,then badilisha motion ya ulimi fanya kuutoa nje na kuurudisha ndani,then utajua tofauti ya kukatika kiuno kitandani na kutokukatika!sasa ngoma inogile ukute na manju nae ajua mapigo ya ngoma na anaitika pamoja nayo!we !lazima maji uite mma!
 
Naunga mkono hoja kwa 100%. Kiuno cha mwanamke au wote wakati wa ngono kina raha yake tena siyo ya kusimuliwa, inabidi ukutane naye anayeyaweza ndo uta-prove hiyo kitu................... tena hilo suala uliloongezea hapo la kutumia kaulimi ndo balaa kabisaaaaaa! muda mwingine huwa nashindwa kujua ni lugha gani anayoongeaga mwanamke pale 'kionjea ladha' kinapozama sehemu zake. Ila yote juu ya yote ni kwamba mapenzi/ngono ni sanaa ambayo kila mtu hufurahia na ana njia zake za kufikisha ujumbe regardless mwenza wake anakata kiuno au la!! cha msingi ni kuridhishana kati ya wawili wapendanao, that is all!!!
 
mh sidhani!labda kama unamfunga na jamaa ili asianguke hapo juu!kama mzigo wa kuni vile hahahahahhahhahhahahhahaha

ah ah ah ah! Si unajua zamani wakati tukicheza kibao kata lazima ilikuwa ufunge kanga ukaze kiuno ndio unyongeka kwa urahisi. Sasa na haya manyama uzembe shurti utafute mirindimo kwanza
 
Uzoefu wangu unaonesha kuwa mimi kitandani ndio mwenye kukatika kuliko mwanamke. Wanawake ukiwakolea wanaweza kukatika? usidanganywe na wafanya biashara. Mwanamme michapo, bila kukatika michapo utaitowa wapi?

Na mwanamme asiyekatika kitandani ujuwe huyu ni "wham bham thank you ma'am".

Usije ukanipiga bodi, namwaga radhi.
 
hivi walokole nao wanakataga viuno ...?

we bwa mdogo JF sio sehemu ya udini, kama huna cha kuchangia ni vyema ukasoma vilivyoandikwa...hii sijui ni mara ya ngapi kila post yako hukosi kutaja walokole au Yesu, jiheshimu alaah!!!
"Afrika ni ndugu na binadamu wote ni sawa"
 
Back
Top Bottom