Kukaa ****** muda mrefu ni ugonjwa au??

Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
7,323
6,810
Jamani mie nashangaa, kuna watu akiingia ****** kujisaidia hukaa kuanzia nu saa hadi saa nzima!!
Huwa nashangaa wanafanya nini muda wote huo kama ni haja kubwa ikitoka si basi ikija tena si utarudi?
Yaani kama mnatumia choo kimoja na yeye ndiyo katangulia kuingia umekwisha!! atakaa humo weee huku wewe umebana makalio mno na unatembea kama unaenda kufunga penati....ili usijichafue, lakini waapi hamalizi! atakaa weeee!!!!!!
Jamani, mie nadhani ukiingia ****** ukishachomoa jiwe lako ondoka!! ukijisika tena si utarudi??!....
 
Hizo ***** sema msalani/******/toilet/bathroom/ladies room/gents room etc

Halafu ile ni starehe asikwambie mtu inahitaji focus na kutulia to do it right. problem ni kama mnashare kama ulivyosema lakini all in all ile si sehemu ya kuingia kwa mbio mbio.
 
Unajua watu wengine ni wavivu kunywa maji..kwa hiyo unakuta haja kubwa inakuwa ngumu sana kama mawe so inabidi atumie muda mwingi ku-release hayo mawe na aki-force ataumia.....
 
Hivi hizo nyota nyota zajieka zenyewe Mzizi maana na mie naona imekuwa nyota nyota badala ya neno lenyewe au ndo tekinolojia mshamba mie sijui???
 
Hahaaaahaaaaa!!
 
Hivi hizo nyota nyota zajieka zenyewe Mzizi maana na mie naona imekuwa nyota nyota badala ya neno lenyewe au ndo tekinolojia mshamba mie sijui???

Eee bwana,nadhani kuna mtaalamu studio ana edit kulinda maadili, si unajua tena!!??
 
Unajua watu wengine ni wavivu kunywa maji..kwa hiyo unakuta haja kubwa inakuwa ngumu sana kama mawe so inabidi atumie muda mwingi ku-release hayo mawe na aki-force ataumia.....

Hahahahahhhh mbavu zangu mie!!! Hehehehehhhhh
 
Hizo ***** sema msalani/******/toilet/bathroom/ladies room/gents room etc

Halafu ile ni starehe asikwambie mtu inahitaji focus na kutulia to do it right. problem ni kama mnashare kama ulivyosema lakini all in all ile si sehemu ya kuingia kwa mbio mbio.

Nina mpwa wangu... akiingia Toilet anachuku fegi na keki... toa kitu... weka kitu... mluzi kinywani.. keki domoni.. fegi vidoleni... unaweza fikiria muda atakaotumia...

Udadisi: ni kwa nini Mtu akitoka "chemba" anakuwa kaulamba(mwanaume anakuwa kachomekea,mkanda nje... wadada ndo usiseme..!)
 
Hii ni noumaaaa.....hasa kwa sisi wapangaji wengi choo kimoja.....umetugusa sana.......
 
unapokata gogo hutakiwi kuwa na haraka sana ile ndo starehe isiyohitaji bugdha!!!!!!!
 
Ndo maana wengine wanaita faragha. Ni eneo linalohitaji utulivu wa aina yake. Wakati mwingine hata mm nikiingia eneo lile naingia na gazeti napata newsss! Safi kabisa lakini inategemea na *** ulichoingia muundo na usafi wake maana kuna vingine ni balaa!
 
jamani asikwambie mtu kunastarehe yake unapokwenda kudownloud na kupload uitaji haraka inategemea na speed ya mtu na choo chenyewe kama kichafu ata kama unapenda vp kudouwnloud taratibu siku hiyo utafanya fasta ila kama choo kisafi nimeingia akiyanani lazima utajichafua mana utabana mpaka utaachia mwenyewe me aka nashusha vituz
 
Msamiati mpya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom