Kukaa Kimya ni jibu pia (Haters)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu,

Nipo hapa JF kuinteract na watu naheshimu kila mtu, Kama wewe unanichukulia tofauti nakupa pole sana.

Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.

Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi kuwajibu watu hao sababu yamimi kurudi humu.

Kuanzia sasa sitojibu mtu anaeniuliza "Wewe jana si uliaga, inakuaje bado upo".

Ukiniuliza swali hilo nakuhesabu kuwa wewe ni Hater, na mimi Mjanja M1 huwa sijibu ma-hater.

Huu ni mtandao wa Tajiri Max, yeye ndio mtu pekee anapaswa kuniuliza hilo swali kwasababu namjazia Server zake.

KAMA UNAJIJUA WEWE SIO TAJIRI MAX AU HAUNA UNDUGU NA TAJIRI MAX BASI KAA KIMYA.

Uzi Tayari.

Mjanja M1 kwasasa napatikana Kuala Lumpur Malaysia 🇲🇾
 
Job truetrue maamaee
 
Ulikuja vizuri sana.

Umeanza kuleta mambo ya ajabu.

Utapuuzwa.
Nipo hapa JF kuinteract na watu, naheshimu kila mtu.

Kama wewe unanichukulia tofauti, nakupa pole sana.

Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.

Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi kuwajibu watu hao sababu yamimi kurudi humu.

NIHESHIMU NIKUHESHIMU.

PEACE.
 
Mi mshamba, we mjanja zijakuzidi chochote😂

Punguza tu kuweka mabandiko yasiyo na ulazima, halafu utani, matusi mbona kawaida mitandaoni, punguza hasira.

Unawaaaaza mambo madogo.
 
huna lolote huna impact humu jf bado ni mchawi tu
Jiulize kwanini unaniita Mchawi?

JIULIZE MJANJA M1 KUNA KITU ANAFAIDIKA KUWA HUMU?

Jiulize, Jiulize, Jiulize.

Kuna mtu jana PM aliniambia kuwa JF ndio ulimwengu wenyewe, nikiweza kuishi humu vizuri basi sitoshindwa kuishi popote.

ASANTE KWA MATUSI YAKO NA MUNGU AKUBARIKI SANA.
 
Back
Top Bottom