Kujua kama mwenza ana "kamata mwizi"

Radigar

New Member
Oct 9, 2012
4
0
Hi wadau. Mi mgeni sana humu ndani so kama vipi ikikosea natanguliza msamaha; B4 kuwa member niliwahi soma issue inahusu namna ya kujua kama mwenza wako ana mawasiliano na mtu mwingine na nikamtonya rafiki yangu mmoja, sasa ananisumbua sana anataka kujua the way to do that. Nakumbuka kwenye hiyo isshu kulikuwa na mtu anaeleza kuwa kuwa kuna technology hiyo ukiwa na simu yene GPRS kama sikosei,,,tafadhali saidia.
 
Simple, tafuta mtu mnayeaminiana...hawa wa hadi kutegesheana kwa simu ujue si wako, ni wa mwingine.
Mshirikishe Mungu unapotafuta mchumba!
 
Ukipata nishtue..........Na mimi nafuga mtetea kila akitotoa analeta mbegu mbovu nataka kujua jogoo la nyumba gani linaloniletea nuksi
 
itabidi sasa mzungu atengeneze chip ya kuweka kwenye K ambayo itakuwa ina pima ingiza toa zipo ngapi so mwanaume atakuwa na uhakika pale idadi ikizidi ile ya previous recording
 
Hi wadau. Mi mgeni sana humu ndani so kama vipi ikikosea natanguliza msamaha; B4 kuwa member niliwahi soma issue inahusu namna ya kujua kama mwenza wako ana mawasiliano na mtu mwingine na nikamtonya rafiki yangu mmoja, sasa ananisumbua sana anataka kujua the way to do that. Nakumbuka kwenye hiyo isshu kulikuwa na mtu anaeleza kuwa kuwa kuna technology hiyo ukiwa na simu yene GPRS kama sikosei,,,tafadhali saidia.

kaka nunua cm ya 3g kama samsung galaxy ya 140 halafu udownload google maps. Then mu-add kama friend then utaweza kumuona yuko wapi kwenye ramani
 
kha!!!wewe mbona ndo cm nayotumiwa tena nliletewa zawdi kwenye bday yangu!!!! kumbe niwekwa choo cha watoto.
bora umenifungua.
 
Back
Top Bottom