Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Chadema imepenya hadi vijijini kwa sasa. Hivi kuna kiongozi wa ngazi yoyote wa Chadema aliewahi kujiuzulu kwa kushindwa kutumikia angalau chama chake tu? Mikoa kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na mengine wananchi wamewaamini Chadema.lkn matarajio yao yamepungua sasa kwa asilimia kubwa
Kwa mfano, ufisadi wa chama ngazi ya tawi, kata na Wilaya.
Kushindwa kusimamia Matakwa ya wananchi hasa kwa madiwani, Wenyeviti wa halmashauri, waziri vivuli au hata makatibu wa jimbo.
Jee chadema ni asilimia mia?
Hongera Cuf kwa kuonyesha Mfano