Kujitokeza kwa Al Adawi, Mwanakijiji ameshindwa au kaumbuka?

pakawa unajua mtu akikuambia umekurupuka maana yake hujui kitu wewe umeingilia.....ni sawa na kuambiwa umedandia tren kwa mbele....hahahahhaaaa...mwanakijiji safi sana kwa hilo jibu....bt big up kwa mtoa mada(thread)...lakini mwanakijiji naye alishindwa kumpiga picha pia?
 
Ndugu yangu Mwanakijiji, nimekufahamu kwa muda mrefu kupitia humu jamvini na sehemu nyingine kwa nguvu ya hoja zako zilizojaa ukweli na uhakika . Nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako pia. Ila nadhani umenitafsiri kinyume.

Sijasema umeumbuka wala siwezi kuthubutu kusema hivyo. Ila nimehoji. Thread yangu ukiisoma vizuri utagundua si taarifa (statement) bali nimehoji. Nia yangu ni kutaka kujua uhalali wa Adawi kuikubali DOWANS wakati alishaikana kwenye interview yako.

Narudia tena, mimi nimehoji tu. Na sidhani kama nimefanya makosa kuhoji. Im sorry for any incoviniece that happened kama ulinitafsiri tofauti na nilivyokusudia. Ila naamini ilikuwa haki yangu kuhoji na kujibiwa ipasavyo.

Acha kubwabwaja,be straight na hoja yako!uko sahihi japo huna uhakika kama upo sahihi.Kwa kuwa umesalimu amri kwa MwanaK,nashauri uipotezeshe hii thread haina maana tena.Mwanzo Mwisho.
 
Nimekuelewa. Nadhani tatizo ni kuwa kichwa cha thread kinaonekana kukudout, tofauti na maelezo ya thread yenyewe.

Katika hili nikiri kuwa nimekosea na nikubaliane na wewe kuwa heading of the thread ina mapungufu. Labda heading ingekuwa "Al Adawi kuikataa Dowans na baadae kukubali kuimiliki, je ni utashi wake au kuna nguvu nyuma yake??"

Yamkini kichwa kingekuwa hivyo (bila kubadilisha chochote kwny content) thread isingekuwa na matatizo.

Therefore Im sory for any incovinience that happened to you knowingly or unknowingly because was not my intention. You are highly appreciated sir. You are my role model!

Muzeezaidi hapo kwenye red nimekukubali...i appreciate that....it takes a real gentleman to accept his wrong deeds and apologize! keep up the spirit.

Mwanakijiji, nimekukubali kwa ku maintain calmness all the way through na kutatua hii mis-understanding, i salute you for this!
 
Natamani niilipue hii mitambo ya DOWANS maana inakuwa kero sasa hata kwa sisi walala hoi...umeme hatupati...na zaidi inaongeza uadui baina yetu... Mwanakijiji kusaidia kutoa taarifa sasa twaanza eti kumtupia shutuma.... Big up mwanakiji....
 
Wana JF wakati mwengine wanakuwa kama LF.Hawaoni mambo kwa mtazamo halisi.
Huyu muzeezaidi kama kwamba ni mwanakijiji mwenyewe au aliyetumwa na mwanakijjiji ili kujitafutia umaarufu zaidi.
Huyu msomi wa madrasa-Al Adwi iwapo yeye ndiye mmiliki wa Dowans wala si ajabu kukanusha alipozungumza na Mwanakijiji halafu akakubali alipozungumza na waandishi pale Kempisk.Kulingana na hali ilivyo ni hekima baadhi ya wakati kutokubali jambo hata kama ni kweli.Wengi wetu humu tumewahi kufanya hivyo mahakamani au hata mbele ya vibaka ili kujiokoa na usumbufu wao.
 
we kurupuka tu; nimezungumza naye leo.... na kama nilivyosema nasubiri serikali yenu imlipe kwanza ndio tutawawekeza huo mgongano wa hoja. Nilitunga vipi stori wakati kinyume na maelezo uliyoyasoma sauti yake ilisikika akiikana Dowans? au wewe hukumsikia?

Hapa ndipo ninapokuheshimu zaidi

Dowans wako kazini kaka....tuwe macho
 
mimi mwenyewe hili swali nilijiuliza...nikaona nisikurupuke kwanza...nikamtwanga swali MMMJ kule facebook,akanijibu fres tu kwamba huyo jamaa ndiye mwenyewe FISADI AL ADAW....ikanibi niwe mpole na maisha yanaenda!!!kuliko kukurupuka toka usingizini na thread kama hii...sasa subiri magreat thinker wa-think of u!!!!
 
Ndugu yangu Mwanakijiji, nimekufahamu kwa muda mrefu kupitia humu jamvini na sehemu nyingine kwa nguvu ya hoja zako zilizojaa ukweli na uhakika . Nakuheshimu sana na naheshimu mawazo yako pia. Ila nadhani umenitafsiri kinyume.

Sijasema umeumbuka wala siwezi kuthubutu kusema hivyo. Ila nimehoji. Thread yangu ukiisoma vizuri utagundua si taarifa (statement) bali nimehoji. Nia yangu ni kutaka kujua uhalali wa Adawi kuikubali DOWANS wakati alishaikana kwenye interview yako.

Narudia tena, mimi nimehoji tu. Na sidhani kama nimefanya makosa kuhoji. Im sorry for any incoviniece that happened kama ulinitafsiri tofauti na nilivyokusudia. Ila naamini ilikuwa haki yangu kuhoji na kujibiwa ipasavyo.
Kwa nini uhoji taarifa ya MM badala ya kuhoji ukinyonga wa Al-Adawi? Basi una udhaifu katika kujenga hoja.
 
we kurupuka tu; nimezungumza naye leo.... na kama nilivyosema nasubiri serikali yenu imlipe kwanza ndio tutawawekeza huo mgongano wa hoja. Nilitunga vipi stori wakati kinyume na maelezo uliyoyasoma sauti yake ilisikika akiikana Dowans? au wewe hukumsikia?

MwanaKijiji,

TANESCO itakapoilipa DOWANS watarudi kututangazia kwenye vyombo vya habari?

Hisia zangu zinaonyesha kama vile "Brigedia" ameondoka na "mpunga wake!!!!!
 
Back
Top Bottom