Kujitangaza facebook - kujishuku

hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB

teh teh

hivi facebook ndio nini jamani?

hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

Hizo ni dalili umewapa wanajamii na dunia remote control waendeshe maisha yako..kwani wewe mwenyewe huwezi!

Back
Top Bottom