Kujitangaza facebook - kujishuku

hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB

teh teh
Utoto, ulimbukeni, ushamba, lack of confidence and all that shit. Kimsingi it is nonsense!
 
Ni ujinga na utoto ana miaka mingapi huyo
sdhani kama mtu mzima na akili zake atafanya
such a thing......
 
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!!

inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB

teh teh

toa li avatar hilo, wengine tuna watoto jirani hapa wataota bure! afu wa Fb wakikukera waambie hukohuko ukileta hapa umbea tu haisaidii wao kuacha!
 
Na wewe badilisha hii avatar yako inadhalilisha wanawake wa kitanzania kuanika mabega yako na manyonyo hayajashikwa vizuri.

avatar24670_1.gif
Kumbe ndio maana humu kunakuwaga na darasa la jinsi ya kutongoza!!
Mkuu mwaga swaga zako acha longolongo, mtoto ni mkali umemzimikia, badala ya kumwaga sera zako unaanza kujishongondoa.
 
Asikuzingua bwana yeye anayajua maadili ya kitanzania au anaigiza we2 huna lolote baya ulofanya umetimiza yalokuwemo kwenye mila na desturi za kitanzania kwan zaman si wanawake walikuwa wanavaa kaniki kuficha matiti na tumbo linakuwa nje asa mabega tu umeanza lawama basi hata zaman maadil hayakuwepo
 
Back
Top Bottom